Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

Madarasa mapya kwa ajili ya wiki kesho. Karibuni sana.

Piga sasa: 0717718519 | 022 270 1320 | 0762 192 532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tutembelee: Makumbusho Business Complex, Gorofa ya pili.
 
Hizo kozi zinafanyikia online?[emoji769]
Asante sana ndugu "Mbacho Massawe", kozi zote zinafundishwa kwa njia ya kawaida darasani. Zilikuwa zinafanyika online kipindi Mafunzo yote yalipo kuwa yamezuiliwa. Kwa sasa tunafanya darasani lakini ni tunachukua tahadhari zote za kiafya kwa ajili ya COVID-19.

Karibu sana,
Piga sasa: 0717718519 | 022 270 1320 | 0762 192 532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tutembelee: Makumbusho Business Complex, Gorofa ya pili.
 
Sorry! Naomba kujua content za hii advanced excel ni zipi hasa? Na kama sina basic yoyote ya Tally au Quick book naweza jiunga na kuanza kujifunza?
 
Shukrani sana ndugu "Zigi" kwa kozi ya Advanced Excel, content-kwa kifupi tutakuwekea hapa kwenye attachment.

kuhusu Tally, hii inaitaji uelewa kidogo wa Uhasibu-Accounting. Hata ukiwa na uelewa mdogo wa Bookeeping inatosha sana.
Kuhusu QuickBook haina haja ya kuwa mwasibu. Ni kuwa na uelewa wa jinsi gani biashara/kazi zako inazoitaji kuzifanya kuona zinavyo fanyika.

Karibu sana;

Piga sasa: 0717718519 | 022 270 1320 | 0762 192 532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tutembelee: Makumbusho Business Complex, Gorofa ya pili.
 
Attachments

Mnafundisha kutengeneza wind roses kwa kutumia excel, mfano hii hapa.

https://encrypted-tbn0.gstatic.com/...sihJ2QplvDn1h_-mUPb-cW6UI1Q82I5USzDXjgEc&s=10
Ndugu "Tujitegemee" tunashukuru sana kupitia uzi wetu huu, ilo somo linafundishwa kwenye kozi ya "Basic & Intermediate Excel for Professional" Module ya Visualization and Data Analytics" utapata kujua mengi juu ya hivyo vitu na vinginevyo vingi sana.

Kozi: Basic & Intermediate Excel for Professional
Muda: Wiki moja[ Jumatatu-ijumaa]/ 2 hrs kwa siku.
Fees: 200,000/=

Kozi unaanza muda wowote unapolipia.

Karibu sana,

Piga sasa: 0717718519 | 022 270 1320 | 0762 192 532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tutembelee: Makumbusho Business Complex, Gorofa ya pili.
 
Uandikishaji kwa ajili ya madarasa yajayo unaendelea,

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…