Hallo kwa tulio mikoani mnatusaidia vp kupata hii elimu?Shukrani sana ndugu "Zigi" kwa kozi ya Advanced Excel, content-kwa kifupi tutakuwekea hapa kwenye attachment.
kuhusu Tally, hii inaitaji uelewa kidogo wa Uhasibu-Accounting. Hata ukiwa na uelewa mdogo wa Bookeeping inatosha sana.
Kuhusu QuickBook haina haja ya kuwa mwasibu. Ni kuwa na uelewa wa jinsi gani biashara/kazi zako inazoitaji kuzifanya kuona zinavyo fanyika.
Karibu sana;
Piga sasa: 0717718519 | 022 270 1320 | 0762 192 532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tutembelee: Makumbusho Business Complex, Gorofa ya pili.
Asante sana,tutaliangalia swala la mikoani kwa mwaka mpya wa 2021.Hallo kwa tulio mikoani mnatusaidia vp kupata hii elimu?
Kwa sisi wa mikoani kuna njia yoyote ya kutusaidia ili tuweze kusoma? Kama kwa kutumia zoom na nk?Advanced Excel for Professional
Tarehe:04/10/2021 - 15/10/2021
Ukumbi:MAKUMBUSHO Business Complex 2nd FLOOR
Muda: saa 11 jioni - 2 usiku.
Walengwa:Accountants, Business Managers,HR, Auditors, Corporate Finance, & Interested Parties.
Ada: Tshs. 350,000/= (hii itajumuisha;kitabu cha kozi(A full colored manual) na miezi mitatu ya kukusaidia kwa ulichokisoma kama utatizika huko kazini)
kujiunga au kama una chochote cha kuuliza;
call: 0717 71 85 19 | 0762 192 532 | 022 270 1320
send: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Office: Tupo wazi kuanzia saa 12 asubuhi - saa tatu usiku kila siku.
Karibuni sana.
Ndugu ZIGI01, shukrani sana kwa kuonesha kuitaji hii kozi! Kuendesha kozi hizi kwa njia za mtandao, tunalifanyia kazi! Ni mategemeo yetu kuwa, yakikamirika tutawapa taarifa wadau wote.Kwa sisi wa mikoani kuna njia yoyote ya kutusaidia ili tuweze kusoma? Kama kwa kutumia zoom na nk?