Kwaniniiikatseb,
Asante sana ndugu "iikatseb",kuhusu ubest wa hizi accounting package inategemea sana na kazi ulizozifanya. Lkn cha kuangalia kiangalia ni kuwa Tally in both Acconts, inventory & Payroll kama package moja. Wakati QuickBook Payroll inanunuliwa tofauti.
Kwa maelezo zaidi na ufafanuzi wa kina;
Tupigie: 0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Japo hainihusu kwa nijinsky hata musiweke under maintenance kuliko code hiziAsante sana mdau wetu,
website yetu ipo kwenye matengenezo! Hivyo itarudi hewani kivingine na kuongeza uwezo mpya! Tunawaomba mtuvumilie kwa kipindi hiki!
Asante