Kuna taarifa inayoelezea hawa majamaa kampuni la mawasiliano Hits-Tanzania
limerudi baada ya kubaniwa na TCRA na kukwama kutokana na mfulio wa uchumi
wa dunia linataka ku-resume sercive zake bongo mdau mwenye info zaidi tunaomba
alete hapa.
Jana walionekana kwenye taarifa ya habari wakizindua kampuni yao.
Nadhani wameshajipanga vya kutosha kuweza kupambana.
Soko la Tanzania la mawasiliano likua kwa kasi sana, if they paly their cards right, watafanikiwa.