MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Nahitaji kupata uelewa wa kisheria katika hili, kama procurement process inaweza kufanyika bila ya muhusika au office inayoconduct hiyo procurement, kufanya matangazo au kuinvite tenders kwa ajili ya competitions, na kama zipo, zimekuwa provided kwenye vifungu gani vya Procurement Act ya 2011 pamoja na Regulations zake??