Exceptions za kuconduct procurement bila kufanya matangazo

MosDef

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
8,420
Reaction score
17,183
Nahitaji kupata uelewa wa kisheria katika hili, kama procurement process inaweza kufanyika bila ya muhusika au office inayoconduct hiyo procurement, kufanya matangazo au kuinvite tenders kwa ajili ya competitions, na kama zipo, zimekuwa provided kwenye vifungu gani vya Procurement Act ya 2011 pamoja na Regulations zake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…