leo ccm wamezindua mpango wa kutuma pesa kwa njia ya sms, mpango huu ulizundiliwa kwa mara ya kwanza na chadema miezi kadhaa iliyopita.
kitu cha kushangaza na kusikitisha ni hii excessive coverage ccm wanayoipata ukilinganisha na wapinzani. yani sasa hivi ninavyoandika masaa kadhaa yamepita ccm wako live kwenye TV na wanawaambia watu watume sms.
Je vyama vingine vitawezaje kushindana kama havipati coverage sawa sawa na ccm?
Je kuna sheria yeyote ya media wakati wa uchaguzi inayoangalia fare coverage kwa vyama vya siasa