Mkuu nimeangalia hapa exchange rate kwa kutumia application ya xe exchange rate inaniambia:
1GBP~2,423 Tsh up to 2,453Tsh ila kama unataka exchange nzuri nenda Crown(Zamani) kwa sasa wanaita Capital ipo mtaa wa uindini zanaki ukitoka round about ya dtv kama unakuja samora moja kwa moja utaliona lipo barabarani.