mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 May 9, 2011 #1 Jamani nauliza exchange rate ya 1 pound ya Uingereza kwa Tsh,niliacha Pound 1 sawa sawa na Tsh 2200,je sasa hivi 1 pound ni sawa na Tsh ngapi ,rate ya kwenye bureau
Jamani nauliza exchange rate ya 1 pound ya Uingereza kwa Tsh,niliacha Pound 1 sawa sawa na Tsh 2200,je sasa hivi 1 pound ni sawa na Tsh ngapi ,rate ya kwenye bureau