DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
Lobbyist wa Kikanada waliwalisha Wabunge chakula cha jioni huku "wamekasirika!"
Lobbyist wa Kikanada waliwalisha Wabunge chakula cha jioni huku "wamekasirika!"
Hapa ndipo tunaelekea kwenye kiini kabisa cha kunyanganywa raslimali zetu na kutufanya tukawa masikini.
Hapa ndipo tunatakiwa tukatae misaada badala yake tuseme Raslimali tulizo nazo zinatosha kutufanya tukawa matajiri kuliko hivyo vimisaada mnavyotupatia baada ya kutuibia mali zetu.
Na hapo ndipo tunaweza kuona kwa nini watu waliweza kupata ripoti ya kamati ya madini kabla ya watanzania. Lazima kama wanataka kuwekeza wafuate sheria za nchi na siyo tufuate sheria zao.