Exclusive: Chama ameachwa na Simba SC

Exclusive: Chama ameachwa na Simba SC

Ni rasmi sasa mchezaji Clatous Chota Chama ameachwa rasmi na Simba SC na muda mfupi kuanzia sasa atasaini Young Africans kama mchezaji huru.
Mchezaji huru anaachajwe na timu?
 
Aondoke na Mashabiki wake hasa watoto wa 2000 walioanza kuishabikia Simba 2018 Baada ya chama kuja.

Tubaki sisi tulioanza kuijua Simba kabla hata chama hajazalaiwa🤒
 
Chama ameikata Simba... Ndio maana hat thank u hamuwezi kutoa....
 
Ni kweli unajua mengi ila kwa kauli ya Ahmed Ally, Chama ndio kaiacha Simba na Sio Simba imemuacha chama.
Mkataba wake umebakiza wiki moja. Waliotakiwa kubaki waliitwa kabla ya ligi kuisha wakasaini wakabeba maburungutu yao wakasepa. Wengine wako Amerika wanamwagilia moyo. Yeye hakuitwa kujadili mkataba mpya bali alipewa barua ya kumtaarifu hataendelea kubaki Simba SC. Sababu kubwa ya kuachwa Wala siyo kiwango chake
 
Back
Top Bottom