Exclusive: Chama ni mwananchi

Hichilema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,608
Reaction score
1,687
Ni rasmi sasa mchezaji Clatous Chota Chama ameachwa rasmi na Simba SC na muda mfupi kuanzia sasa atasaini Young Africans kama mchezaji huru.
 
Kwa mara ya kwanza Simba wamekuwa bold japo wamechelewa amewachezea sana akili kwa mda mrefu kiasi ambacho sio Simba tena Bali taifa lilianza kuaibika
 
Figo alishawahi hama kutoka Barcelona kwenda Madrid

Luis Enrique alihama kutoka Madrid kwenda Barcelona

Van Persie alihama kutoka Arsenal kwenda Manchester Utd

Yondani alishahama kutoka Simba akaenda Yanga, Nurdin Bakari, Okwi ......

Na kadhalika za kutosha

Nachotaka kusema sio mara ya kwanza na haitakua mara mwisho. Kama ni kweli akaenjoy mpira wake sisi wananchi tutamfurahia na makolo hakuna haja ya kuhuzunika
 
Kinyonge sana
 
Exclusive news za bongo za kidwanzi sana. Yaani tetesi au hisia zako eti unaandika kama ni habari RASMI
 
Namtakia kila la kheri huko aendako.

Chama hajawahi kuifunga Yanga na game zote alizocheza dhidi ya Yanga alicheza chini ya kiwango. Haya ni maamuzi murua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…