Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Kuna watu walikuwa wanapiga kelele humu kuwa demokrasia ya kenya imeiva ya kwetu ni mbichi na chachu! Wakasisitiza kuwa tume ya uchaguzi ya kenya iko huru sana!
Pamoja na siasa chafu za Tz lakini hawajawahi kufanya tukio kama hili kubwa na kutisha kwenye uchaguzi...There is no democracy without freedom....jamaa was not free to talk Kenya bado sana kwenye masuala ya democracy unless democracy iwe ni kuua wale wote wanao go against na wewe
 
Play for kenya

Kama hamjui Kiingereza kuna ulazima gani wa kukitumia? Hivi mnadhani sisi tunaotumia Kiswahili ni Wajinga / Mangumbaru? Nina uhakika tena wa 100% kuwa ulitaka kuandika Pray for Kenya lakini kwakuwa lugha yenyewe haikutaki umeandika Play for Kenya.

Nakipenda sana Kiswahili changu na tujitahidi tukidumishe tafadhali.
 
Siasa nimchezo mchafu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ipo Africa tu, ni huzuni kwa kweli. Hivi ikulu kuna nini???? Kuna jamaa huko anadai hana pesa za uchaguzi, mwingine anataka kubadili katiba waondoe umri, mwingine anataka afanywe Rais wa maisha, mwingine kapindua mihula ya uchaguzi, yaan tafrani vururu vururu. Mama Africa where are we heading??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina la kuchangia ila ninawakumbuka kina Pio Gama Pinto, Tom Mboya, J.M. Kariuki, Rober Ouko, Mugabe were, Bruce Mckenzie, G.G Njuguna na wengine wengi ambao wameuawa kinyama kwa sababu za kisiasa tuu.
May Their Souls Rest In Eternal Peace.
 
Why are brilliant heads always naive and reckless? Msando's night out on fateful day was typical of rebel university student. Why are brilliant minds so naive?Rest in peace son of Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…