Diamond atakuwa kesho kwenye kipindi Cha good morning Cha Wasafi FM kinachorushwa kuanzia saa 11 mpaka saa 2 na nusu Asubuhi kutoa muongozo katika namna ya kupata msaada wake wakulipia Kodi ya miezi 3 kwa familia 500 so stay turned.
Hizo kodi labda awalipie masingo maza...
hv mm na ndevu zangu zote nilipiwe kodi na mwanaume mwenzangu!!!??
Walah bilah sikubali....
nitakaa hata juu ya miti..