Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake


Stara nae amefanyeje tena mkuu
 
Huwa sipendezwi na wanawake wanaotoa siri za waume zao.
Jide amejishushia heshima yake.
 

Uandishi Majanga, shule yako nyembamba jitahidi sana kujisomea maana unaandika kitaarabu, taaarabu. Jizuie kuandika Ujumbe kama unaimba taarabu. You need to improve your writting skills. Pole sana maana haya ni matokeo ya kusoma shule za Kata, tena Kijijini...
 

nimequote yote kwa vile huu ni ukweli ambao wengi hawaujui.

Asante kwa kuweka kumbu kumbu bin sawia
 
Jide ..angekaa akatulia toka kipndi kile ukute saiv angekua na mzungu au mwarabu km sio r.mengi..
 
Upompwaa nimeshaangaasanaa leoo ykurasamzima watatuu unamzungumzia gadner na jdeeee log singenunua juice ya embe ninywe kama ningejuahuu upuuzi ukondani

Haaaaaaa Mpwa mie nimekusoma saana... ila umenichekesha hapo kwenye juice ya embe
 
Jide si akae kimya tuuu? why kwenda magazetini? mbona Gadner yupo kimya tuu? kaaz kwel kwel
 

Haaaaaaa Mpwa thread yako imenichekesha saana leo..

Hii part nayo imenichekesha zaidi
 

Uandishi huu si sawa.
 
Mi nasubiri wimbo wa jide maana siwema na wanaume kama mabint zimeisha chuja.kuna wanawake mtihani khasa akiwa muimbaji mkitibuana ohoo wimbo.

Siku hizi hata hasikiki sana kwa radio....so huo wimbo hautovuma kama siwema na wanaume kama mabinti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…