Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

Anasema hawajaachana ila amemuacha! Halafu yupo busy kumchafua mwenzie kwenye social media !!! Kitu gani kinamuuma?!!! Bi.tch please, she got some paper but I guess she's missing a good di.ck, yeye mwenyewe Ma.la.ya tu, mbona alimnyang'anya mwanamke mwenzie huyo Gardner? Nafikiri hukumbuki tena!!! Karma inamrudia mwenyewe.
 

Hey long time... is everything alright?

hajamchafua kaeleza ukweli.. sa kama mtu akisema we ni malaya na ni ukweli anakuwa kakuchafua au kaweka Fact straight...
 
Baeleze baelewe! Kwani wengine hawafanyi ufuska? Lakini hawafanyi mbele za wake zao! Yeye alikua ni mwanaume asiye na adabu wala maadili wala mipaka! Inaelekea alikulia mtaani tu kama chokoraa fulani!
Mbona unamkandia sana ndugu mtangazaji
 
Asingeweza kuzungumzia mazuri maana anataka kuwaaminisha mashabili wake kuwa maamuzi aliyoyachukua ni sahihi
 

Na ndo hapo naona jide anapotosha watu na wanaomuamini nao vile vile.......yaani Gardner ni balaa na jide alilijua hiloo even before ndoa. Limetumbika ndo anaanza tafta huruma ya wananchi wakurupukaji...
Nitaendelea kuwa shabiki wa muziki wake na nitamsapoti sana kwa kazi zake.lakini kwa hili hapana.

Bahati bukuku aliimba "maamuzi yako ni matokeo ya kesho"
 
Namvumilia kwani ananihusu nini?nimemuona 3 times live to be honest she is ugly tena anabahati alipata mtu[/QU

yaani ktk kuwakilisha hiii hoja yako hata kuweka ka lugha laini umeshindwa wewe Dada wewe???
 
Haaaa Natalia nimekushindwa lols...

Hiko ki point cha u ugly ulivyokijazania

Yaani kamkomalia komando wetu mpaka bhasi....
Kuna jamaa yangu huwa anasema jide ndo msanii photogenic kuliko wote wakike,sasa Natalia ukisikiwa na huyo rafiki yangu sijui tu hahaha
 
Last edited by a moderator:
Asingeweza kuzungumzia mazuri maana anataka kuwaaminisha mashabili wake kuwa maamuzi aliyoyachukua ni sahihi

Maamuzi ni sahhi sema yamechelewa..haya maamuzi alitakiwa yafikia before ndoa.
 
Pdidy story yako uliyonijibu iko very touched. Ila mkuu sijui ni kwa nini typing yako leo imekaa ndivyo sivyo. Au kwa vile ni jumapili mchana mvinyo kidogo? Haha ha! Usijali imeeleweka.
 
Last edited by a moderator:
shule nilionayo pengine ukoowenu amna kabisa ama mko 3

guess??
 
pdidy story yako uliyonijibu iko very touched. Ila mkuu sijui ni kwa nini typing yako leo imekaa ndivyo sivyo. Au kwa vile ni jumapili mchana mvinyo kidogo? Haha ha! Usijali imeeleweka.
mpwa mna valentine sie tuna after valentine
 
Hey long time... is everything alright?

hajamchafua kaeleza ukweli.. sa kama mtu akisema we ni malaya na ni ukweli anakuwa kakuchafua au kaweka Fact straight...
Nimepitia kwenye account yake G kusoma comment daaa aisee nimeona watu wanamponda sana hadi nimesikia huruma!
 
Hivi hii ni ngonjera au ni nini?


QUOTE=Pdidy;11915181]Dear sis
ukweli nimeumia leo kusoma mwananchi ukurasa watatu mzima unaweka majadiliano kuhusu maishayako na gadner!!sidhan kama ulikuwasawa ama ukupata msaada wa mawazo!!ndoa inapokufa mnabaki kilamtu na maishayake!!simjui gadner vile lakini aijaliishi alikuwa mlevi!kicheche na mlishaachana akuna hajayakusema magazetini ooh umemwacha wewee!!somatalaka inasema mmeachana!!!kama umefanikiwa kuipata

nimeongea hivi kwahuzuni kama mwanandoa!!mnapofikia kikomo chamaishayenu si vizuri kutkanana amakuaibishana magazetini!!leo uwezi amini basinililopanda mmoja kanunua gazeti
kasoma akaanza kukukandikia kweli!!!tukaamua wengine kusoma kuna ninii!ile niaibu!!kama ukupata wa kukushauri ilenifedheha kwenu yanikwako nakwake!!kumbuka hiyu kaka aliulizwa kipindi inaitwa mikasi gadner akaulizwa kuhusu ndoa hapo mlishaachana akaombahayo ni mamboyenuyandani!!!muulize mwongozaji salma atakuonyesha alichojibu

ndugu wapendwa hii nakwenu jf pia samahani kamammeona baadhiyamaswali yandoa najibu mkato maana ndoa ni wewe namumeoo!!huku tutakupa mimba!!!kuna mmmoja ameuliza anamiaka 9 amwelewi mumewe hata tukikuongezea 2 hutomwelewa malizana naetu huko huku utapata majibuya ajabu yasionwmsaada!!ni kweli mbele huko wamemjibu majibuya shinyaaa

jaydee najua amna watoto badomnaitaji kuheshimiana aijalishi mmeachana wapo leo walioachana na bado watoto wao waliozaa pandezote wanatmbeleana sembuse nyyie wenyeee!!wee!!kuachana ni matokeo tu usikatetamaaa aminiusiamini dd hawahawamagazeti wanakuja kukufyonza sikuwakikuona na gadner mnakumbatiana tena

maombiyangu kwamungu upendo uendelee juyenu aijaliishi kilamtu yukowapi anaishiwapi[/QUOTE]
 
Kweli nimeamini, ukweli unauma na ni vigumu mhusika kuukubali, huyu mleta uzi kaboronga sana ktk uandishi wake na karibia nusu ya koment inaliongelea hilo lakini anapoambiwa next time awe makin ktk uandishi wake ili ujumbe upokelewe vyema anakuwa mkali kama mbogo na blah blah kibao. Sasa fikiria hili ni kosa la kawaida mtu anakuwa mbishi hivi vip angekuwa mwanasiasa???
 
Anachukua PHD sasa hivi

dada kuchukua Phd sio kujua kila kitu ukizingatia na elim yetu ya bongo ya kukaririsha na kuitukuza magharib mbona wapo wanazuoni wengi tu wanakuja mtaan wanatuomba vijana wa sec tuwape muongozo wa kuandika barua za kikazi n.k NB; You can know anything but not everthing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…