Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

Thank you.......
 
Nimepitia kwenye account yake G kusoma comment daaa aisee nimeona watu wanamponda sana hadi nimesikia huruma!

Ya kawaida hayo G haimsumbui hiyo ana uzoefu wa kusemwa, ila at least itamsaidia Jide apunguze upweke akishika simu yake.
 
Weka picha yako na wewe tuone sura yako sio unasema wenzako kumbe nawewe sura kama ng'ombe



 

Tatizo la Jide ni SHULE, ulimbukeni na ushamba uliopitiliza, kulikuwa na sababu gani ya kusisitiza kuwa HATUKUACHANA bali NILIMUACHA, ushamba tuuu, alafu logically sio kweli kuwa Jide ndio alimuacha G, bali G ndio aliyemuacha Jide, ndio maana alikuwa anachapa nje, jide alichofanya baada ya kugundua ameshaachwa ni kuhama nyumba.
kama kweli jide ndio aliyemuacha G asingehaha tena kwenye media kila siku kumchafua, huku ni kutafuta poozo la nafsi inayopwerepweta kwa maumivu ya kuachwa na kutafuta HURUMA ya mashabiki, hivi unawezaje kumuacha mtu alafu uringie kuwa AM STRONG AM MOVING ON? haya maneno yanapaswa kusemwa na ALIYEACHA au ALIYEACHWA?? mara say NO to morioz, G si alikuwa MANAGER wake?? mchango wake kama manager mbona hajausema??? this women yupo disparate ndio maana anatapatapa, analazimisha kula sana ili anenepe wapi, anajisiliba makeups ili angalau avutie ili atuaminishe she is better now than before lakini wapi, but ukweli unaonekana ndani ya macho yake ana stress, kapanic mpaka kamrusha mganga wake live kwenye TV huku ni kuchanganyikiwa.
Jide plzzz backoff, kubali tu yaishe acha kuropokaropoka hovyo unajichoresha tuu bure, kwani kumuita mwanaume malaya wala haishtui, ukicheche wa G alikuwa nao before, taking into account that the guy is HANDSOME vidada vinajichomeka tu vyenyewe, lakini wewe uliukoleza kwa kukosa mvuto.
 
VERY HARD LOOKING.Ana bahati alimpata mtu wakumwangalia sura Yake kila siku na kumdanganya " your beautiful".ana sura ya binti chura

Hivi ukisema kitu flani kizuri au kibaya unakisema kitu chenyewe au akiyekitengeneza? JD alichagua aumbweje? taratibu bana.....
 

Mwenzio ana hela ata akiamka hasubuh aktak kwenda ulya anaenda tu , sasa nyie wenye sura kama tuerny mna maisha gan zaidi ya kufanya umalaya,mtobolewe mbele na nyuma mhongwe simu, muacheni jide sio typee zenu
 
Mwenzio ana hela ata akiamka hasubuh aktak kwenda ulya anaenda tu , sasa nyie wenye sura kama tuerny mna maisha gan zaidi ya kufanya umalaya,mtobolewe mbele na nyuma mhongwe simu, muacheni jide sio typee zenu

Kwa sasa JD bila kuwa na mme she's nothing, utaona kama atatunga wimbo wowote ndani ya miaka2😱

Unaona bila Gardener hata ile Nyumbani Lounge inaendelea???

Mwanamke bila mume is nothing kabisa
 

Well said mkuu.
 
Jide ni mpagani na mpumbavu. Mwanamke npumbavu hubomoa ndoa yake mwenyewe. Mwanamke mwenye malezi ya dini hawezi kuwa bold kama hivyo. Kudai mbele ya jamii kuwa eti kamwacha G ni dalili za kuonyesha ujuaji wake.

G kasema poa kabisa, yaani Hana cha kuongeza. I can tell, This guy is a real man.
G anaelewa kuwa ni kawaida wanawake wanaaminika hata wakikusingizia jambo la uongo mbele ya jamii. Akachagua kutokujadili.

Kumsema mwanaume ni mlevi ili pengine uonekane umetoa sababu yenye tija, sifikirii.
Nini maana ya kwashida na raha.
Wanaume wengi wanapiga wake zao lakini ndoa hazijavunjika.
Kitu cha kuangalia mafanikio ya Jide yanahusika sana na aina ya mwanaume akiyekuwa naye. Unless aniambie kuwa yeye jide ni mpiga ramli.
Machungu ya kuvunja uhusiano ni mabaya kuliko ya ndani ya ndoa.-jide is pathetic.
 

unasema hya hlf kesho unaungua sura na maji ya moto pliiiz usiwe harsh kiivo coz hujafa hujaumbika
 

Walau nimepata Mdada ambae ameelewa na kapambanua pumba na mchele....sio wengine naona wanapovuka tu wanasahau hayo......

Pamoja na yote wamekwepa swali langu na nalirudia tena "je unaweza olewa na mwanaume ambae unajua fika weakness yake ni cheating,na ameshaacha mke wa ndoa for other women???"
 

huyu dada namfutilia sana huko IG ikipita siku hajarusha kijembe kwa G mate hayamezeki, anachokitafuta ni zile comment za huruma huruma zile na sifa za kijinga, kwanza sikujuaga kama Jide ana GUBU kiasi hiki jamani pyeeeee! yani nilikuwa namuonaga kama dada flani hivi anayejielewa mbaya kabisa.
lakini toka aanze kumvua nguo mwanaume aliyekwisha mvua nguo yeye ndipo nilipogungua something is wrong with her brain, yani kaleta zile za wanawake ambao ni house wives wa kinondoni ambao wakiwafuma waume zao wanaenda kukodisha ngoma na matarumbeta wanakuja kuwachamba wahusika, status ya Jide sio ya kumleta mume tena wa ndoa IG kuja kumchambia huko, IG kule mpaka watoto wanaingia kule wanajionea mahoka tuu.

sasa Jide kwa nilivyokusoma, kwa nyodo na mbwembwe ulizoonesha wakati unamchambua aliyekuwa mumeo hiyo hasa ndio ilikuwa sababu ya wewe kuchezea kipigo cha mbwa, huwezi kumuoneshea mwanaume dharau akakuchekea hata siku moja labda kama umemuweka kwenye chupa, unavyoongea tuu ni wazi dharau ndizo zilikuponza wewe, watu wamesoma psychologia dada hawaitaji kuishi na wewe ili kujua tabia yako, ukitoa sentensi moja tu inamtosha mtu kukujua in out, sembuse yale uliobwabwaja pale IG? kwa akili yako umamshushia G heshima, lakini kiuhalisia heshima yako wewe kama mwanamke imeshuka zaidi.
kiukweli Jide huna washauri wazuri, wewe sio wakwanza kushindwa na ndoa, so sijashangazwa na uamuzi wako wa kutoka ulikuwa ni uamuzi sahihi kama uliona maji yamekufika shingoni, LAKINI ulipaswa kutoka kistaarabu na kiheshima kama mwanamke uliyefundwa kwenu, kwa ushauri ungeeleza ndugu wa karibu familia na viongozi wako wa dini kama ingefaa, lakini kuja kueleza kwenye media nimekudharau sana.
 
Ukiona mmeachana na mtu then bado akawa anakuzungumzia kila mara ujue bado ANAKUPENDA
 

Ni kweli mkuu. Huwa sipendi kusoma mambo ya watu lakni comment yako imenivutia. Ni kweli mafanikio ya jide hayakuletwa na jide mwenywe hata gadna yupo kwenye mafanikio hayo. Mimi nathani wangeongea tu yaishe. Wawe marafiki wa kawaida. Kuna sometimes unahisi umfeel mtu tena laknj sio kwamba humpendi. Sisi wanaume tunayo hio kitu.
 
Hey long time... is everything alright?

hajamchafua kaeleza ukweli.. sa kama mtu akisema we ni malaya na ni ukweli anakuwa kakuchafua au kaweka Fact straight...

I'm super duper my dear, sikatai kama G ni Malaya... Ila nachosema huyo bi mkola alimpata kwenye mazingira gani? Alijua tabia yake tangu awali, na hata mwenyewe lady jay Dee ni Malaya kwasababu alimpora mwanamke mwenzie kwasababu ya fame na unapomuacha mtu why you wanna waste ur time talkin about the same person again?!! Halafu ni mshamba sana, kiburi na ana dharau! Ukiachilia mbali matatizo yao ya ndoa , hawezi kusema G hakuwa na mchango kwenye maisha yake! Unless she is totally insane if not delusional, mapenzi yapo na yataendelea kuwepo milele ukiona yamekufa songa mbele tafuta mtu mnaofanana sio kulia lia haisaidii.
 
Jamani.gadner ni mtendaji mzuri sana na mbunifu....katika mafanikio ya jide kachangia asilimia kubwa sana....tukumbuke mwanamke bila mwanaume mtihani sana.tunatizama upande moja tu...jay dee kupata senti alibadilika..sisi watu wa karibu yake....kabadilika sana.sasa alianza dharau.maamuzi akawa anataka afanye yeye kila kitu....hili ndilo sababu..pia kuna vingi tu...mwanaume ni mwanaume tu..tizama machozi band ya zamani na sasa ya wakazi.....hamna kitu..nyumbani lounge imekuwa sehemu ya kula mirungi.bangi na wasichana kujiuza. Sio burudani...masela tu..gadner alikua akiongea na watu na palikua na heshima..so kimsingi dada zetu hubadilika wakishika senti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…