Habari mpya ya mjini ni ndi ndi ndiHivi kwani ameshatoa wimbo mpya?
Ila kiukweli ukisikiliza nyimbo zake za zamani utasema haitakuja kutoa nyimbo nzuri kama zile na inaelekea huwa anawatungia watu..
Wanaume kama Mabint
Distance
Wanock nock
Siku hazigandi
Mbona hauvumi sasa?...Habari mpya ya mjini ni ndi ndi ndi
Wewe tu ndo hutaki kusikiliza radio na kutizama tv....... (lakini usitazame wala kusikiliza clouds hauigwi haha)Mbona hauvumi sasa?...
Hivi ule wimbo wake ambao anamtaja Gardner unaitwaje?
Nkikumbuka 2009 2010, nlikuwa napitaga sana Zhongua pale. . Gadner kupga denda mademu amewapakata wakati mke wake yupo stejini ilikuwa kawaida sanaNadhani humjui G wewe wala usimtetee. Bora kamuacha. Halafu kachelewa mbona sana kumuacha, yaani angemuacha kitambo. Tuulize sisi wapenda starehe. Maana gazeti halitoshi
Unamjua vizuri mkuu au unasikia tu habari zake?duuh gadner jaman mbna haindani na hata moja kati ya hayo yaliandikwa hapo?
NO: 10
SWALI: Tunasikia umeachana na mume ni kweli au uzushi?
JIBU : Hatujaachana niliamua kumuacha
SWALI: Kwanini umeachana/umemuacha mume?
JIBU : Nimemuacha kutokana na kuwa Ndoa inatakiwa iwe na maelewano, furaha, amani na upendo, ila kwa bahati mbaya vyote hivyo havikuwepo, sikuwa tayari kuendelea kuishi kwa maumivu huku niki pretend ili kuiridhisha jamii.
SWALI: Huoni kama umejishushia heshma kuachana na mume?
JIBU : Sioni hivyo, ila naona nilikuwa najishushia heshima zaidi kuishi na mume asie na heshima, anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi niko jukwaani naimba. Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini.
Ukiachilia mbali vipigo. Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu. Ushahidi ninao; niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. Bado kupigana na kuwatusi wateja pia. Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso!
SWALI: Baada ya kuachana unategemea kuolewa tena?
JIBU : Ni mapema kujihakikishia uolewaji mwingine, ila haimaanishi kuwa sitopenda tena. Nahitaji kuwa makini zaidi Kuchagua mtu sahihi wa kumpa moyo wangu.
SWALI: Kwanini usirudiane na mumeo?
JIBU : Siwezi kurudi nyuma tena, huwa nina misimamo thabiti. Mpaka kuamua kuondoka na uvumilivu nilionao mjue ni maji ya shingo. When i say never, I mean Never.
SWALI: Uliwezaje kuishi na mume mlevi namna ile?
JIBU : Nilidhani angebadilika, so nilikuwa natoa nafasi. Iliposhindikana nikaona isiwe tabu, kila mtu na aubebe mzigo wake. Ukizingatia ananizidi umri miaka mingi, alitakiwa yeye anielekeze zaidi kuliko mimi kumuelekeza maisha mtu mzima.
SWALI: Uliwezaje kuondoka?
JIBU : Nilipoamua kuwa na iwe basi, Nilitoka bila kubeba kitu. Nikasafiri kwenda USA, nikakaa huko mwezi mzima ku refresh na kujipima kama kweli ntaweza ku move on? Niliporudi Tanzania sikukanyaga tena nyumbani, mpaka muda huu nnapo type na ku post haya majibu. Kwa ki fupi ni kuwa nili ondoka bila kuaga, sikuona sababu ya kuaga.
Asanteni jamani, nafikiri nimejibu yote.

Licha ya unafiki kwenye ndoa hata mahusiano tu ya kawaida ili udumu unafiki unahitajika sanaUnajua jide alicho kuwa anafanya sio kipya kabisa 60% ya maisha ya ndoa yamejaa unafiki tuu...watu wanaumia hawana jinsi inabidi waendelee kunyamaza na kubaki kwenye moto..hadi wanapo karibia kutokwa roho ndio wana kimbia!
Usione watu wanacheka kumbe ni unafiki tupu na sanaa!
Kuna mada moja alileta lara 1 ilisema-ndoa ni taasisi iliyo jaaa unafiki wa hali ya juu watu waliwaka sana! Lakini mimi niliilewa sana tena na huo ulio ulikuwa ukweli..nadhani ushahidi wa mada hile unaanza kupatikana ..
Kama ujui kuigiza na kuwa mnafiki sidhani kama unaweza kudumu kwenye ndoa hasa za kiafrika ambazo kifo ndio hutenganisha ndoa!
Kama uwezi kuwa mnafiki au kuigiza usijiingize kwenye ndoa kabisa maana baada ya mwaka itavunjika!
Harudi huyo!!!!Okay, ngoja na mi nimpigie wife, asijekuwa harudi tena.
Haaaa Lol...Licha ya unafiki kwenye ndoa hata mahusiano tu ya kawaida ili udumu unafiki unahitajika sana