Okay, ngoja na mi nimpigie wife, asijekuwa harudi tena.
Hehee kumbe Heaven on Earth hujaolewa?Yaani walioko ndani wanataka kutoka.., tulioko nje tunataka kuingia..
Yaani maisha haya bhana....Leo hiii Jide ndio anaonekana victim na G ndo anabeba zigo lote la unyama na ufedhuli...
Lakini Jide huyu huyu ndo aliempoka mwanamke mwenzake mume na kejeli na dharau nyingi sana....haya yote yamesahaulika....au ndio kusema ya kale hayatoi harufu????
Jide kavuna alichopanda tena ashukuru mbegu aliyopanda imekawia sana kuota(au alikua akiikawiza).
What goes around..............
Kwa hiyo Jide alimchukua G kinguvu? ina maana Jide alimlazimisha G kuwa nae?
Eti aliingia nyumbani kwa mke wake wa kwanza akamkusanya kama furushi akasepa!
Hakuna formula hiyo! Mume kaporwa kwani ni furushi la nguo au? Mume kamkinahi mkewe kamuacha! Unataka kusema wanawake wote walioachwa au kuachana na waume zao wameliwahi kunyang'anya waume za watu? Whether umenyanganya au ni original kuachwa kupo tu!
No, sio kicheche lakini haka ka style ka wanawake kuondoka ka wanaenda sokoni vile kumbe ndo harudi tena na huku kufunguka namna hii katatuweka wanaume kwenye wakati mgumu sana mwaka huu.
sababu kuna uzi mwingine na flora mbasha ye aliondoka na elfu mbili tu,kama yupo vile, kumbe huyoooooooo mpaka leo
Nipe dakika sifur nikufikilie
Lady jd kwa jinsi alivyojijengea heshma miaka mingi hapa bongo
Siamini kama hayo maneno yanatoka kinywani mwake hata km ni kweli gadner kamfanyia hivyo vituko.
Duh! Hata komandoo jide?
Hakuna tena wanawake karne hii.
Hehee kumbe Heaven on Earth hujaolewa?
Kama umefika 18 we mkubwa pengine mi ndio chaguo Lako la mAisha nifikiriee
Hahahaaaa lol unataka ban
Hivi yule mchumba wako siku hizi yuko wapi... mlikuja kwa mnwembwe haoo
Mama D upo? Najua wewe ni memba humu, unajisikiaje tunagonga miaka 11 tukiwa watulivu na wenye amani? Nipo mbali sana nawe kijiografia ila moyo wangu upo kwako. Ndoa inahitaji 'kuwekeza mtaji mkubwa!'
Huyo Mama D ndio mke wa mwanzo wa G?