Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

Angeendelea kukaa kimnya tu, staki mwenzie basi kama wamesha Achana Au amemuacha yote sawa mwisho wa siku ni kua wote hawako pamoja, na Asiseme Never...
 
Hakuna formula hiyo! Mume kaporwa kwani ni furushi la nguo au? Mume kamkinahi mkewe kamuacha! Unataka kusema wanawake wote walioachwa au kuachana na waume zao wameliwahi kunyang'anya waume za watu? Whether umenyanganya au ni original kuachwa kupo tu!

Nafikiri ujajua unachojibu.....wewe mwanamke unawezaje kubali lazimisha Mme amuache mkewe uolewe wewe?????? Na wewe unahesabu umependwa na unarelax kabisa???
Unless kichwa yako ni ya kusukia wigi.
 
Kwa hiyo Jide alimchukua G kinguvu? ina maana Jide alimlazimisha G kuwa nae?

Huo ndio ukweli....jide forced that relationship.....forced kila kitu kwa vile tu ana Pesa na ni celeb.....that's why she has that audacity ya kusema eti mm ndio nimemuacha..
Sina hakika sana lakini nadhani hata aliyemuanza mwenzake ni yeye(just saying maana wengine hamkawii kupanic)
 
Eti aliingia nyumbani kwa mke wake wa kwanza akamkusanya kama furushi akasepa!

Kumseduce mume wa mwenzako ni kumpora mwenzako pia.....I guess maana ya kupora au kuiba wewe ndo umeielewa hiyo ya furushi tuu???
 

Ko she forced everything.....
 
Sijaelewa alivyosema kaacha kila kitu inamaanisha ile nyumba,envoque na murano kamuachia gadner? Mbona gadner aliondoka kwenda kukaa m/nyamala akiwa na fuko la Rambo? Juzi Juzi jide alipiga picha na prof jay akiwa na gari zake zote mbili au wakati anaenda USA alipanda nazo kwenye ndege then akarudi nazo? Kama gari still anazo kwanini asema kwamba hajaondoka na kitu?
 
Ndio maana anajiita KOMANDO na ni KOMANDO kwakweli. Siku hazigandi slow motion leo ipo kwA playlist zangu maana amenigusa.
 

Kweli mkuu inawezejana hii style mpya ya kusepa si hata Christian Bella kwenye wimbo wake ..Nakuhitaji..aliagwa anaenda salimia wazazi na hata chelewa atarudi ila mpaka leo kimyaaa..
 

Pengine ana maanisha ndani ya nyumba! Lakini nilivyo msoma Jide nimegundua ana tatizo kabisa!
 

Hivi hii ya kuondoka na mfuko wa rambo ni kweli?
 

Niliangalia kipindi cha mkasi alivyokuwa akihojiwa salama alijaribu sana kumchimba G ..lakini ..G hakukubali kabisa kuongelea hii issue .. jibu lake lilikuwa maswala ya jayde muiteni mumuulize mwenyewe. ..

Hayo ni majibu ya mtu mwenye busara. .. ya ndani ya ndoa yangeishia hukohuko. . Jay de hajafanya fanya vema. . Angekaa kimya tu. . Aendelee na maisha yake kama alivofanya mwenzie
 

Ila njiwa hata Jide alikua hataki kuongelea hili swala.. akiulizwa hakuonyesha ushirikiano.

Maybe ameona huu ndio muda muafaka wa kuliongea kwa sasa... arelease the burden na alitenga siku ya maswali watu wamuulize maswali atajibu yote isingeleta maana ajibu baadhi then aache hayo ya ndoa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…