Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
Yafuatayo ni mambo matano yanayomuhusu Ali Kiba ambayo
DStv.com kwenye Exclusive interview imeyapata, baada ya kukaa
nae na kumuuliza maswali mbalimbali.
1. Anasema amemaliza kuijenga nyumba yake toka mwaka 2007 na
ni kutokana na pesa za muziki, anasema kila mwenye kipaji cha
muziki akifanya juhudi lazima uchumi wake utabadilika.
2. Pamoja na kwamba amemaliza kujenga nyumba yake, bado
hajahamia mpaka leo ila ataanza kuishi ndani ya nyumba yake
baada ya kuoa ila kwa sasa anaishi mahali flani ambapo sio kwenye
nyumba aliyoijenga.
3. Nyimbo anazozisikiliza sasa hivi ni pamoja na Mdogo Mdogo ya
Diamond
Platnumz na Pesa ya Mr. Blue.
Je wajua tuzo za #CHOAMVA zinaendelea hivi sasa? Kuwapigia
kura Diamond Platmumz na wengineo tafadhali nenda hapa.
4. Timu ya watu wanaofanya nae kazi kama Team Kiba ni zaidi ya
watano.
5. Video yake mpya ya hit single ya Mwana hawezi kusema itatoka
lini lakini ameithibitishia DStv.com kwamba video hiyo imefanyika nje ya Tanzania, nje ya Afrika
Source
mobi.dstv.com/news/matano-aliyoyasema-ali-kiba/104365