Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Kumbe team kiba wapo watano tu,,hehhhe wengine visebengo tu
Aaaaa nishawajua nyie mna mahaba kabisaaa mpaka mnaumwaa u know
Inaonekana dina ulivyokuwa mtoto ulikuwa mchokozi saaaaana hehehehe manake unajua kuwagusa watu palepale kwenye moyo ...alafu Ninakusubiri Kule kwa kajala ujue?
yaani dina kiba nimeanza kumpenda mudaa ssna
toka njiwa kitambo sana
halafu my mom home anampenda kiba hatari yaani anamjua kiba kwa wasanii na salama jabir
so yaani mi na kiba wema ndo atatugombanisha nae
Hhhhaaaaaaaaaa haya bana nakutania tuuu
usikonde wangu mi penda sana kiba,tid,duly,kiroboto,chege&temba ay na banana jamani
sugu,prof hawa shikamooo zao
hahaaaaaaas
ni shiddaaaaaa
nyumba umalize toka 2007 mpaka leo huhamii, alijenga ya nini? hebu tuwekeeni hiyo nyumba maana hawa wasanii wa bongo kwa usanii ndio wenyewe.
Nyumba ya Kiba wewe kinakuwasha nini? Gadem mbululaz, debes tupus.

Haaaa nimehesabu mwaka 2007 hadi leo ni miaka kama 7 imeshapita mtu hajahamia kwake
nyumba umalize toka 2007 mpaka leo huhamii, alijenga ya nini? hebu tuwekeeni hiyo nyumba maana hawa wasanii wa bongo kwa usanii ndio wenyewe.
Le fisiz...chicken head...hahahahaaaaah
wabongo wana majungu sana mbona kawaida sana hivi nikakae madale huko wakati kuna sehemu ya kuishi kinoo...?!!!
hebu angalieni time factor bwana....!!!