EXCLUSIVE: Mbinu za haraka kwa wanaotakiwa kufanya Second Round application

Dansel

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
249
Reaction score
59
SECRECT: watakaoapply second round wanatakiwa kujaza only one courses na kozi zenye nafasi zimetolewa katika akaunti yako. Hivyo cha kufanya ni kuwahi kuapply ili usikute wenzako wamejaza, nafasi zikawa zimeisha,, mtu akijaza kama ametimiza vigezo anapata nafasi moja kwa moja,,, Wahi sasa usichelewe..
 
angalia kwa makini kuna coz nyingine hazifiti mf.. nimepiga HGE halafu wameweka Ba ya education with science
 
kwenye tangazo lao wanasema ukishaona zile course with available slots inabd ukaangalie kwenye tcu guide book ipi unakidh vigezo then ndo uijaze!
 
Kwenye orodha ya hizo course unatakiwa uangalie ambayo unakizi vigezo ndo unaichagua.. wao wametoa orodha ya kozi za vyuo vyote ambazo zina nafasi bado. so choose what is the best for you. Alafu check eligibility mambo yanakaa sawa..
 
kwenye tangazo lao wanasema ukishaona zile course with available slots inabd ukaangalie kwenye tcu guide book ipi unakidh vigezo then ndo uijaze!

Mkuu uko sawa cha ziada,, sio lazima mtu adeal sana na admission guide book kwa sababu wamepunguza cut off point kwa second round,, mfano MD ya bugando ilikuwa 7 na saa hivi ni tano..
 
Mbona kozi zenyewe zimebaki magumashi mfano; kozi zenye mkopo zote zimejaa ikiwemo education haya si majanga haya.
 
Mkuu uko sawa cha ziada,, sio lazima mtu adeal sana na admission guide book kwa sababu wamepunguza cut off point kwa second round,, mfano MD ya bugando ilikuwa 7 na saa hivi ni tano..

duu kmbe cttng pnt wamepunguza
 
Mkuu uko sawa cha ziada,,
sio lazima mtu adeal sana na admission guide book kwa sababu wamepunguza
cut off point kwa second round,, mfano MD ya bugando ilikuwa 7 na saa
hivi ni tano..

Mkuu hapo bugando ni kweliii???
 
SECRECT: watakaoapply second round wanatakiwa kujaza only one courses na kozi zenye nafasi zimetolewa katika akaunti yako. Hivyo cha kufanya ni kuwahi kuapply ili usikute wenzako wamejaza, nafasi zikawa zimeisha,, mtu akijaza kama ametimiza vigezo anapata nafasi moja kwa moja,,, Wahi sasa usichelewe..

kuna udhaifu TCU - mbona miaka yote slots wanaziweka wazi kila mmoja azione. Pia mbona hawajawaongoza waliokosa wafanye kama unavyosema kwa kutoa maelekezo kwenye News and Events!!
 
Back
Top Bottom