angalia kwa makini kuna coz nyingine hazifiti mf.. nimepiga HGE halafu wameweka Ba ya education with science
angalia kwa makini kuna coz nyingine hazifiti mf.. nimepiga HGE halafu wameweka Ba ya education with science
kwenye tangazo lao wanasema ukishaona zile course with available slots inabd ukaangalie kwenye tcu guide book ipi unakidh vigezo then ndo uijaze!
Mkuu uko sawa cha ziada,, sio lazima mtu adeal sana na admission guide book kwa sababu wamepunguza cut off point kwa second round,, mfano MD ya bugando ilikuwa 7 na saa hivi ni tano..
Mkuu uko sawa cha ziada,,
sio lazima mtu adeal sana na admission guide book kwa sababu wamepunguza
cut off point kwa second round,, mfano MD ya bugando ilikuwa 7 na saa
hivi ni tano..
SECRECT: watakaoapply second round wanatakiwa kujaza only one courses na kozi zenye nafasi zimetolewa katika akaunti yako. Hivyo cha kufanya ni kuwahi kuapply ili usikute wenzako wamejaza, nafasi zikawa zimeisha,, mtu akijaza kama ametimiza vigezo anapata nafasi moja kwa moja,,, Wahi sasa usichelewe..
nijuze kama unatakiwa kuaplai kwa second round profile yako ikoje?Mkuu hapo bugando ni kweliii???