Elections 2010 Exclusive: Mfumo wa Kukusanya na Kujumlisha Matokeo ya Uchaguzi

Elections 2010 Exclusive: Mfumo wa Kukusanya na Kujumlisha Matokeo ya Uchaguzi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Document hii itasaidia kuwafanya watu waamini kuwa upigaji kura mwaka huu utakuwa ni wawazi zaidi. Na labda ndiyuo sababu inayowafanya baadhi ya watu kupata presha kubwa sana.

ESP_Newsletter_1.jpg

Attachments

Big up NEC, kweli hata leo nimesikiliza magazeti asubuhi. mawakala watarushusiwa kusindikiza masunduku ya kura makao makuu.

Nimefurahi sana. uwezekano wa kuiba kama miaka mingine huko nyuma waweza kuwa finyu, ila sijui kama watatangaza matokeo kinyume na hali halisi yaani ubabe.

Hofu yangu ya kuibiwa kura imepungua kabisa!
 
Nadhani hii itasaidia sana kuleta mabadiliko sana katika uchaguzi huu!
 
Bado watu wamekalia kulalamika lalamika tu
ila jitihada kubwa mno zinafanyika,,,hongera sana NEC
 
Mzee M.M nakuaminia sana coz unapenda sana kuja na supporting evidence

Thumbs up!
 
Mzee Mjj nimekupata. Natumai majina ya ya wapigakura wengine yako kwenye list zilizobandikwa maana nako hapo kuna utata pia
 
Mwanakijiji you're a true son of the countryside! Thanks a billion times.
 
tatito kura nyingi huibiwa vijijini, na nikisema vijijini namaanisha vijijini kweli i hope mmetembea mkaona vijiji vya tanzania ambako unakata pori kwa gari kama masaa mawili na ndo unakutana na kijiji mbele, hao watasindikiza hadi wapi? na huko uwezekano wa kuwahonga mawakala na polisi ndo mkubwa maana hata network hakuna eti mtu ataweza kutoa taarifa, maty God help us.
 
Ndio maana leo wale wa upande wa pili wanatapatapa tu kwa kujua ukweli na kuona jinsi gani watu walivyo kuwa na mabadiliko ya kweli
 
Lakini MM kumbuka akina Majid Kikula wako pale NEC kwa zaidi ya miezi 6 wanaifanyia kazi hiyo kitu, huenda ndo wizi ukawa kiulaini zaidi. Butbig up to NEC kuja na hiyo kitu anyway
 
Lakini MM kumbuka akina Majid Kikula wako pale NEC kwa zaidi ya miezi 6 wanaifanyia kazi hiyo kitu, huenda ndo wizi ukawa kiulaini zaidi. Butbig up to NEC kuja na hiyo kitu anyway

Sio Kikula tu, Maharage unamjuaaaaaa
 
Lakini MM kumbuka akina Majid Kikula wako pale NEC kwa zaidi ya miezi 6 wanaifanyia kazi hiyo kitu, huenda ndo wizi ukawa kiulaini zaidi. Butbig up to NEC kuja na hiyo kitu anyway

Hiyo siyo ishu ya NEC.

Ni ishu ya wahisani. CCM wakileta wizi, basi wajue hata ahadi ya bajaji 400 haitatekelezeka. Na mbaya zaidi Kikwete atalazimika kuchapisha noti ya Bilioni 100 kama Zimbabwe.

Ndiyo sababu, CCM hawalali usiku kucha.
 
Nadhani ndio maana tunaona post nyingi zinazoelezea uibaji wa kura utafanyika ki IT zaidi na sio kwa physical votes. Kama watu wataweza kuwa na access ya hiyo result system kutokea pale upanga watashindwaje kuchakachua hayo matokeo ya ki IT? Kama hicho kitengo cha HACKERS kinachosemwa kipo hapo Upanga hakitadhibitiwa nawaambia CHADEMA itapigwa bonge ya bao la kisigino.
 
tatito kura nyingi huibiwa vijijini, na nikisema vijijini namaanisha vijijini kweli i hope mmetembea mkaona vijiji vya tanzania ambako unakata pori kwa gari kama masaa mawili na ndo unakutana na kijiji mbele, hao watasindikiza hadi wapi? na huko uwezekano wa kuwahonga mawakala na polisi ndo mkubwa maana hata network hakuna eti mtu ataweza kutoa taarifa, maty God help us.

Hapo umesema, maana kuna maeneo mitandao yote ya simu haipatikani. Kama kura zitahesabiwa na matokeo yakabandikwa kwenye kituo kabla masanduku hayajaondoka kwenda wilayani hawataweza kutuibia.
 
Ni mwanzo mzuri,Transparent Result Management System sio 100% water tight,hizo programme zinatengenezwa na binadamu kama mimi na wewe na zinavunjwa na watu hao hao.Mapungufu lazima yatakuwepo.Ilitakiwa kuzijaribu kabla hasa nyakati za chaguzi ndogo zilizohusu wabunge.
 
Nimeuona mfumo huu wa NEC ni mzuri na ninachotaka kuwahakikishia tu kura hazitaweza kuchakachuliwa kwa kupitia mfumo huu. Vyama vinhitaji kuwa na mawakala wa uhakika kwenye vituo vya kupigia kura.
 
Hiyo news letter ya UNDP na 'mipango mizuri ya NEC & ZEC" ina lugha tamu ya ukweli na uwazi, lakini turudi ktk 'utekelezaji' wake hapo ndipo bado nina shaka kubwa. Kwa mfano nchi ina katiba na sheria nzuri tu, lakini 'wakubwa' huwa hawajali yaliyomo ktk 'karatasi' ya Katiba na Sheria wao hupindisha sheria na katiba kupata wakitakacho.

Hivyo ni bora kuwa macho na kutobweteka na 'maandishi' mazuri na matamu yaliyomo kwenye news letterya UNDP, sheria za uchaguzi (Tanzania na Zanzibar) au katiba, ni lazima wadau wote kuwa macho mpaka kieleweke.
 
Namna pekee ya kupunguza wizi ni vyama siasa kuhakikisha kuwa hakuna vituo hewa vya wapiga kura huko majimboni. kama HACKERS watafanikiwa kuingiza vituo hewa kwenye database hapo itakuwa rahisi sana kupandikiza matokeo bandia kwenye hiyo result System. Cha muhimu ni kuhakikisha kilichopo majimboni ndio hicho hicho kutapokelewa HQ. CHADEMA you need team of Experienced IT kuhakikisha uchakachuaji wa ki IT usitokee
 
Nadhani sasa vile visingiziovya kuibiwa kura havitasikika ila sauti ya masanduku ndiyo itarindima
 
Back
Top Bottom