Exclusive:Ngoma mpya ya Ali kiba "Kipusa"

Mhenga aje kutupa mashairi ya kuagulia na kupungia mapepo.

Eneka, hii kila kitu, toka kwa mwanaume rijali siyo aliyetonesha njia ya haja ngumu.
 
Kuna facts hatutaki kuzisikia na kuzikubali. Muziki hautofautiani na sanaa na michezo kwa ujumla.

Suala la umri ni kitu muhimu sana. Uwezo wa kutunga pamoja na kucheza huendana na umri.

Watu wengi wanamlalamikia Kiba kwa kukaa muda mrefu bila kuachia ngoma. Nasema kwa umri alionao yupo sahihi, asilinganishwe na vijana maana tutakuwa hatumtendei haki.

Tunampa presha asiyo stahili.
 
Tunajadili kipusa na si Eneka wewe acha mahaba hayo.Kwa upande aa lugha za mtaani kipusa inabeba maana ambayo si nzuri masikioni mwa watu

great thinker
Kipusa kwa kiswahili ni kengele. Ama nyie mmezaliw lini?

Mliwah kuskia kipindi cha Abdalah majura cha chemsha bongo?

Alikuwa na kipusa chake pembeni ambacho kulikuwa kinagongwa please mtu akikosea jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…