Nakuona Zari ulivyofurahi kurudiana na mondiii ukasafishe nyotaHabari mbaya kwa team zari kurudia ua jekundu aiseee
Habari mbaya pia kwa timu dai walioapia dai hawez tembelea jina la zari pyeeeee
Kwa Timu omba omba ni habari mbaya sana daaahView attachment 796214
Nakuona Zari ulivyofurahi kurudiana na mondiii ukasafishe nyota
Akili kubwaa hii wee mwenyewe ulidoda tuka tuachane hujatongozwaNakuona mond unavyojirudisha ujaze views u tube ulidodaaaView attachment 796234
Akili kubwaa hii wee mwenyewe ulidoda tuka tuachane hujatongozwa
Wasafi TV kupitia imstagram account yao wamepost picha ya kwanza ikumuonesha Diamond Platinumz akiwa South Africa na wanae. Bila shaka hii ni habari njema mno kwa team Diamond na team Zari, na wale wote ambao walikuwa wanaiombea hii couple imalize tofauti zao.
Nikiwa kama mmoja wa shabiki mkubwa wa Diamond nawapongeza yeye na mzazi mwezie kuanza kupunguza tofauti zao, ila Diamond ajitahidi kukaza zipu, aache kufunguafungua kila apoona sketi.
Habari mbaya kwa team zari kurudia ua jekundu aiseee
Habari mbaya pia kwa timu dai walioapia dai hawez tembelea jina la zari pyeeeee
Kwa Timu omba omba ni habari mbaya sana daaahView attachment 796214
Uzee nani atongoze gumegume hiloAkili kubwaa hii wee mwenyewe ulidoda tuka tuachane hujatongozwa
hahahaaa....[emoji91] [emoji91] [emoji91] hukuona ile range ya mkenya? Tatizo ilikuuma sana ndo maana unajidai kusahau. Zari ni maji usipayaoga utayanywa.