Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Kaweke chama chako kitakacho kuwa bendera kufuata upepo. Sisi watanzania hatukubali siasa bandia tunataka siasa safi yenye kutoa mamlaka kwa wananchi kuchagua viongozi kama katiba inavyo sema.Wapinzani hawakutumia busara kujitoa Wamekosea sana
Wafikirie kabla ya kufanya maamuzi ya pupa
Wapinzani hawakutumia busara kujitoa Wamekosea sana
Wafikirie kabla ya kufanya maamuzi ya pupa
Tuwekee tusikilize, japo haisaidii. Huu uchaguzi umeshakuwa batili na haramu.
Ila ushahidi wa kina Nape ndo unakubalikaHuu ushahidi hauwezi kukubalika TAKUKURU. Hii nchi ni mungu wao tu anayeweza kujua ni kwa nini watu wake wamekuwa hivi.
Mwl Joyce alikua muandikisha Kitongoji cha Stooni Nyamongo, alimpigia wakala wa uandikishaji simu kimakosa akifiri amempigia wa CCM, alikua anaomba rushwa kwa wakala ambae baadae ndio alikua awe mgombea wa Kitongoji mwalimu Joyce alikuwa anasema ametumwa na msimamizi wa uchaguzi anaeitwa Henry eti kwa sababu wamefanikiwa kumuondoa mgombea wa CHADEMA kwa kumuandikisha mara mbili.
kaka serikali ndyo hao hao CCM.... hakuna jipya.Ccm huu uchaguzi wameuchezea mno.
Serikali usitishe wajipange upya.