Exclusive: Uhuni wa CCM uchaguzi Serikali za Mitaa huu hapa

Hivi kwanini kuna watu wanalazimisha sana sana machafuko lazima yatokee yaani. Hata ukiwakwepa vipi, wanalazimisha tu? Ni mpango wa shetani au Mungu jamani?
 
Hivi kwanini kuna watu wanalazimisha saa sana machafuko lazima yatokee yaani. Hata ukiwakwepa vipi, wanalazimisha tu? Ni mpango wa shetani au Mungu jamani?


Lala utaletewa kifungua kimya kitandani
 
Ukiwa unaendesha Gari rough road Ni vema after at some distance unasimama ushuke kuangalia kiasi gani vumbi unalotimua linaathiri watembea kwa miguu.
Ukiona limezidi Sana Punguza speed.
Wachache watakuelewa mkuu...

Ila kwa zama hizi ni Machozi, Jasho na Damu
 
Hivi kwanini kuna watu wanalazimisha saa sana machafuko lazima yatokee yaani. Hata ukiwakwepa vipi, wanalazimisha tu? Ni mpango wa shetani au Mungu jamani?
Ngoja ka-Ustahimilivu tulikokabakiza nako wakapole .......

Ni style ile ile ya kujimwambafai..
 
Ndio wanaitaga upepo wa ...............
 
"Kwa hiyo huyu Lema anataka kuvuruga uchaguzi wa vitongoji au kaanza kampeini kabla ya muda!?"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…