Inakuuma sana! Maisha ya mwenzio yanakunyima raha mpaka unasema tusubirie mwisho wake! Absurd...utangoja sana.
ngoja niweke reverse gear, wrong direction huku..:spy:
Morphine inahitajika huku.
hehehe ngoja awe mahututi nitarudi.
Labda tusubirie ufufuko! Mi nangoja explanation ya TWIN!!!!!!!!!!! Siioi naona mnazunguka mibuyu. Shutuma nzito kujigusa nazo aaaaaaaaaah! ACHENI KUWA BIASED! Anyway wanasema mgeni hata aiwa anani akirimiwe kwa siku za ugeni wake. Minangoja deadline ya ugeni.😛oa
cc Matola! Lwayer jipangeeee, mbona makama itafunguliwa humu. Na screen shot za Kiboko ya Mange zipo! Anyway hili picha halitakiwi kuisha harakaaaaa! Silaha nzito inatakiwa mtu uzitunze kwa mwishoni. Kuna picha pia toka Bongo. Kitawakaje humuuuuuuuuu! LIFE BAN kuhusika na jamvi lilivo na misheria hili.
zels wape neno la Mungu hawa wajaa laana mpaka wakuelee.
Mteja wangu simruhusu tena kwenye malumbano hii thread ilikuwa ni exclusive kujuwa ukweli kuhusu Linda na fact zimewekwa mezani na wenye macho wameona fact zote zinajieleza ambaye hajaelewa aanze kusoma upya kuanzia page ya kwanza mpaka page hii ataelewa ukweli wa Linda.
Nimefunga mjadala rasmi member mnaruhusiwa kuendelea kujimwaga kwa porojo za hapa na pale.
Nothing much, nothing less.
AISEEEE KUNA WATU WANA MAKOLE YA SHARI HUMUUUU
YANI MTU KAUMBIWA SHARIII TUUUI
Daaaah linda awe mkimbizi,awe mzamiaji si yeye na we si uzamie bas!!
hebu tuacheni beef za kijinga jamani
chokochoko za pweza hazitufikishi popote
km humpendi mshauri unaempenda ajiunge nae mumuanzishie uzi wake
Nilikua naandika magazeti na kuchambana nikapitwaaaaaa
Ila hamzidi zari hata kidogo guu la zari ni noma afu huyu mfupi sana viatu tu vinambeba
Nilibahatika kumuona Zari pale speke resort miguu yake inatisha.ni mfupi mnooo.hiyo miguu uione kwenye picha ikiwa laivu kama anaumwa matende.nampenda Zari ila kwa ile miguu,hapana.
Kwakwakwaaaa hivi mtoto ulimpa uji kweli??nakuona ulivyobaki moja shoga angu hata vipodozi havikai??unatuzuga eti diet hahahaaaaa!hivyo viguu sasa??utasema ukienda hatua mbili vyavunjika loh!badilikaaa
Huo wingi wa nini? Tangu lini tukachukua oda kwako? We jisemee wewe Genny unaacha shari na chokochoko za pweza hazijakufikisha kokote, binadamu hujawaweza.
Ushauri hapa ANGAZA??????????????? Usisahau IT IS A FREE COUNTRY SINCE 1961 NA FREEDOM OF SPEECH!
Na mie huu uzi NIMEALIKWA RASMIIIIIIII! Pale juuu. Nisingekuja au nikiondoka itaonekana namzarau Mume wangu. Mume aniite afu nisije? Weeeeeeeee! Nisinge hitajika nisingeitwaaa. Shaka ondoa leo nipo kiukarimu zaidi, nimekuja na ndimu za kutosha, zingine namgadulia gwadulia mgeni kidogooooo, nyingine nalamba mwenyewe kupunguza kichefuchefu. Relaxxxxxxxxxxxxxxx!
Really haikuwa nyumba kubwa iliozungukwa na mafridge ha ha haa your so damn bitter. I aint got time for this let me just help you feel better tulilala nje hatukuwa na pa kuishi 🙂
hahhaaaaaaa
unakufwa for herrr
wapiiiiiiiii!!!!