Sijui nini kinamsibu,Mungu ampitishe salama Sisi wote ni Binadamu,hatuna guarantee ya kutokumbwa na matatizo.Mungu ampe wepesi katikia kipindi hiki kigumu anachotraverse valley,hakika Mungu atatengeneza njia.Na hii picha nilitumiwa wanasema inaelezea.
Basi sawaaaa
Jaman matusi anayopata mama zari ni sheeda.... Hiv hii tabia imeshika kasi ivi!
Mi naona vidole vina pete vingine havinaaa,,hebu fafanuaaa
Sijui nini kinamsibu,Mungu ampitishe salama Sisi wote ni Binadamu,hatuna guarantee ya kutokumbwa na matatizo.Mungu ampe wepesi katikia kipindi hiki kigumu anachotraverse valley,hakika Mungu atatengeneza njia.
Kwa hili lazima kajifunza,maana havai tena pete.Ila ndoa bwana ukiwa vizuri usimcheke mwenzako,maana hawa wanaume baba yao mmoja,black or white,yellow or spanish,wote sawa tu.Ila kwa yeye wengi wachukue funzo wakati yake tambaraleee alikuwa busy kuanika watu na ex-friends wake re matatizo kuwaaibisha...sasa nae anayaona.
Ni bora kuishi na kutoshabikia matatizo ya watu hata kama vipi maana Mungu ndie ajuaye.
Kwa hili lazima kajifunza,maana havai tena pete.Ila ndoa bwana ukiwa vizuri usimcheke mwenzako,maana hawa wanaume baba yao mmoja,black or white,yellow or spanish,wote sawa tu.
kweli dada unenayo mi simcheki mtu kufarakana ndoani maana mwanaume sio wa quarantee
anytime anabadilika
unajua wanaume kwa asili yao,hawapendi mwanamke anaejiamini sana.atahakikisha unakua chini yake na insecure.ndio raha yao hiyo.ukiwa na over self confidence ni ngumu kudumu na mwanaume.tena ukipata pasua kichwa kama wa kwangu mie kama hauna moyo wa chuma na wa kuvumilia aibu kama Zari,mapema unajifia.

mi siamini km kaachika ukute anatafuta kick kaona blog imepooza
maana nae ana akili ya kucheza na watu