Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Ukawa wote ni uhuru, tajiri yenu kasema. Hayo mengine ni mbwembwe tu !
Afadhali ashinde uhuru kama lilivyo Jina lake kila kitu ni uhuru kuandamana ni huru kumtukana ni huru kumsema ni huru yeye ni maendeleo tu
Kabisa mkuuNdio maana tumeamuka mapema kumuangusha, hatuko tayari kurudishwa nyuma kimaendeleo kwa sababu ya masilahi ya mtu mmoja
Mkuu hujui kuwa mwanzo wa hesabu ni moja?Safi sana...lkn muda bado tuendelee kusubiri
I doubt haujui wameanza kuesabu za wapi ....but Kenyattas lead is big albeit closingnikama kenyatta atachukua hii ila acha tusubiri...raila ameanza kupaa
Hiyo haiwezi kufanyika mkuu hujui uungwana ni vitendo?Sijui atamponeza mshindi kama atakuwa ni Uhuru?