EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Niko hapa westlands na niliona mmefunga vilango juzi mkikimbia kuelekea mshambani
mzee watu walisafiri kwa ajili ya kupiga kura..mbona hapa nilipo biashara zinaendelea kama kawaida?
 

Jubileeee [emoji736][emoji736][emoji736]

What goes around always comes around
 
Wakenya hawana akili kama za bavicha, hawaangali urafiki was mgombea wanaangalia utendaji wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, Wakenya wana akili na wanaangalia utendaji wa mtu, na ndio maana wanaonyesha kuzikataa propaganda za "Hapa Kazi Tu"; Kuna mtu aliwaomba kura huku akitumia "swaga" za Jumanne Pembe Masufuria, lakini kwa kuwa wao wanaamini zaidi katika demokrasia inaelekea kama vile hawataki kabisa swaga zile!
 
Magu kawabana mmepata kwa kupumlia,Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hamna haja ya kwenda CHATO hatakiwi kwenda ajikaze kiume huko huko KENYA na walompigia kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…