Odinga hatokaa amsahau sizonjeYA LOWASSA yamepita tuangalie ya sasa ambapo SIZONJE anaunga mkono upinzani ya NASA afu ya kwake anakandamizyee[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Walishindwa kuchagua rafikiWakenya aaaah Wakenya eeeeh ,jubilee aaaah jubilee eeeeh,tuko pamoja. Isaac Rutto ako wapi? ameshindwa na mama Joyce ,na yule yaliondwele sipite? hakika hawa matapeli wa naswa walijinasa kweli kweli
Wakitengeneza Kenya nongwa. Mbona Mwaka Juzi Januari alitengeneza mkanyamazamatokeo ya kutengeneza hayo ndo maana yalitanguliwa na mauaji ya kiongozi wa tume hopeless kenya hopeless democracy laila samper fidels
atapata ukuu wa wilaya chatoHii ime mcost sana Raila
Vitendawili na misemo bandia yameaangusha hawa wote sasa waKenya wameamua vitendo na sera ndio mwelekeo bora.We don't need useless parrots .Wakenya aaaah Wakenya eeeeh ,jubilee aaaah jubilee eeeeh,tuko pamoja. Isaac Rutto ako wapi? ameshindwa na mama Joyce ,na yule yaliondwele sipite? hakika hawa matapeli wa naswa walijinasa kweli kweli
Very true my brother. Marafiki wake ni wale madikiteta in the regionWalishindwa kuchagua rafiki
In God we trust
atapata ukuu wa wilaya chato
Namwona hapa..kweli anataka kuleta fyoko fyoko..Raila Odinga LIVE
Anataka kuleta nini tena huyu mzee ..asije akavuruga amani
What goes around always comes around
Ameeni, I love the boy, very humble, very kind, very trustworthy, very Faithful, God be with Kenya!Nakumbuka ile siku ya mwisho ya campaign za jubilee kule Nakuru My President prayed ,and said that Inshallah mungu akipenda tutashinda na sifa na heshima zitamrudia mwenyezi mungu .Hakika mungu ametukumbuka na kayajibu maombi yetu hakika sifa na heshima ni zake. yule mganga kadhani eti uongozi ataupata kwa nguvu zake mwenyewe tumewaweka mahali pake.
Pogba usimlinganishe na 'jinga lao' tafadhariAmeeni, I love the boy, very humble, very kind, very trustworthy, very Faithful, God be with Kenya!
Pogba wa tz nchi imekushinda!