[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu tuendelee kufuatilia interview kijana yupo vzr
Hiii nacheka mwenyeweMamaee Hii ni Kiboko ila umkumbuke kutoa mbegu na Mizizi!
hauna mwanamke?mpaka sasa ni member active wa chaputa mkuu na hiyo ni dozi daily mara ya mwisho ni jana saa 9 usiku
in fact meng ni for fun mengine ni kweli na mahindi nalangua kijijini then nauza mjini...nimekufatilia tangu unaanza kujihoti,,majibu unayotoa ni kweli yote au mengine utani,,,?
Biashara yako uliyoisema unafanya,,unalima mwenyewe au unanunua toka kwa wakulima?toa uzoefu kdogo wa ku- inspire vijana wenzako kidogo wasiishie kucheka tu.