Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Kwa mujibu wa sheria ya wakala wa serikali (Excutive Agencies Act No 30) ya mwaka 1997 na marekebisho yake ya mwaka 2009 inamtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads .
Nimeambatanisha hapa chini sasa sijui Mh Rais Samia Suluhu Hassan imekuwaje mpaka kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads.
Hayati Magufuli alimteua Hayati Eng. Mfugale May 24 2011 kipindi hicho hayati Dkt. Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.