We huna Akili, umepewa kichwa kama pambo. Unajua maana ya separation of powers na mamlaka za uteuzi? excutive ina mamlaka na departiment ambazo rais haruhusiwi kuteua watendaji wake.akiteuliwa n a Rais ni kosa kwasababu Waziri yupo juu ya Rais au vipi, mbona hamueleweki. hivi pamoja na yote, mnamjua boss wenu namba moja hapa nchini ni nani? ambaye hata ukiteuliwa na Rais akiamua kukufukuza anakufukuza dakika?
Mie mwenyewe nimeshangaa sana. Wenzao TPA walifanya amendment DG anateuliwa na president maana zamani ilikuwa anateuliwa na Waziri.Kwa mujibu wa sheria ya wakala wa serikali (Excutive Agencies Act No 30) ya mwaka 1997 na marekebisho yake ya mwaka 2009 inamtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads...
Magufuli siyo sheria, na kwa kumbukumbu zangu sikumbuki yupi alimteua ambaye hakupaswa kuteuliwa nayeye. Taja hata mmoja kuniprove wrongMagufuli aliteua wangapi ambao hakutakiwa kuteua??
wewe mbumbumbu, separation of powers ina maanisha "executive, legislature, judiciary" kwa kiswahili kama huelewi ni, Serikali, Bunge na Mahakama.We huna Akili, umepewa kichwa kama pambo. Unajua maana ya separation of powers na mamlaka za uteuzi? excutive ina mamlaka na departiment ambazo rais haruhusiwi kuteua watendaji wake. Rais anamteua IGP na Baada ya kumteua rais anamwachia IGP mamlaka ya kuteua RPC na maOCD na uwezo wa kuwafukuza kazi ama kuwahamisha unabaki wa IGP. Sasa wewe hapa unatetea nini? Mamlaka ya kumteua mtendaji mkuu wa wakala wa barabara kisheria yapo kwa Waziri sasa huona rais amekiuka sheria?
akiteuliwa n a Rais ni kosa kwasababu Waziri yupo juu ya Rais au vipi, mbona hamueleweki. hivi pamoja na yote, mnamjua boss wenu namba moja hapa nchini ni nani? ambaye hata ukiteuliwa na Rais akiamua kukufukuza anakufukuza dakika?
kwahiyo na wewe unajifanya huelewi? hahaahhaUnalazimisha watu waelewe ujinga, siyo? Watu waelewe ukiukwaji wa taratibu ambazo serikali yenyewe imejiwekea? Watu wa ajabu sana nyie!
Alimsimamisha mchaga mmoja kisha ofisi akampa Mfugale way back 2011 baada ya hapo wote tunajua kuwa ilibidi Mfugale afie madarakani maana umri wa kustaafu ulishafika ila akaendelea kuchapa kazi kweri kweriNakumbuka wakati Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi alikuwa anafukuza na kuteua CEOs wa TANROAD
kwahiyo sasahivi kamteua msiyemtaka sasa mnataka atenguliwe, imekwisha hiyo. jadilini mengine.Alimsimamisha mchaga mmoja kisha ofisi akampa Mfugale way back 2011 baada ya hapo wote tunajua kuwa ilibidi Mfugale afie madarakani maana umri wa kustaafu ulishafika ila akaendelea kuchapa kazi kweri kweri