Executive Agencies Act No 30 inaelekeza Mtendaji Mkuu wa Tanroads kuteuliwa na Waziri wa Ujenzi na sio Rais

CEO TANROADS ni jungu kubwa sana!
 
Unategemea mtu kama huyu atii sheria za nchi?Kwanza anajua hata kuna sheria?

Mtu mweusi ni Kima aliechangamka!
 
Pumbavu, Even excutive itself has separation of power to which it belongs. Ndiyo kama hii ya kumteua mtu ambaye hakustahili kuteuliwa.
 
Nani anakumbuka kile kifungu cha

Rais atamteua yeyote kushika nafasi yoyote na hatohojiwa na yeyote.

Tena bila hata kutoa maelezo kokote.
Ni two way trafick waziri anaweza kuteuwa na raisi anaweza kuteuwa......
sasa ukiwakuta watu wenye fikra ndogo wasiofanya research wanaona makosa ni makubwa
 
Pumbavu, Even excutive itself has separation of power to which it belongs. Ndiyo kama hii ya kumteua mtu ambaye hakustahili kuteuliwa.
ndani ya executive hakuan separation of powers, rudi shule au nyamaza tujadili mengine. unajiaibisha. utakapogusia kitu kinaitwa separation of powers kwenye executive lazima ugusie administrative powers za kudiscipline au kupromote. who has that overall power to discipline or promote somebody in this country in that perspective?
 
Rais ana mamlaka ya kumteua hata mtanzania yeyote bila kujali kiwango chake cha elimu au taaluma yake kuwa mkuu wa Shule ya Msingi Sandali iliyoko Temeke.
Je, kuna ajabu Rais kumteua Chief Executive wa TANROAD TANZANIA?.
Huyo Waziri wa Ujenzi amekasimishwa madaraka ya kumteua Mtendaji mkuu wa TANROAD, Temesa, tba and so ili amwakilishe Rais. Rais akijisikia anaweza kufanya yeye mwenyewe.
Endapo sheria ndogo na katiba vikikinzana katiba ndio hugeuka kuwa sheria. Na katiba ndio iliyompa hiyo power.
Imagine afisa usalama wa wilaya anateuliwa na Rais huku RPC ambaye ni mkubwa zaidi anateuliwa na IGP.
Tukielewa maana ya neno KASIMISHA hatutahoji kuwa kwanini Rais anaingilia utendaji wa viongozi aliowateua.
 
Rais ana power ya kuteua na kutengue yeyote na muda wowote!

Bavicha huwa hamsomi?
 
Rais ni mkubwa.

Amedelegate power za kuteua na kufukuza kwa mawaziri.

Delegated power can not be delegated.

Ingekua kinyume na sheria kama Waziri angeacha katibu afanye hiyo kazi huku yeye yupo. Hapa ingekua mtihani.

So Rais kwakua amedelegate power kwa mawaziri logically bado anaweza exercise hiyo power ikatokea kuna ulazima huo.

Na kwa vile hata katiba imempa nguvu ya kuteua safe to say bado anacheza ndani ya sheria.
 
sasa hao bavicha hapo juu I hope wataelewa, au watafute kitabu ccha "administrative law" cha chipeta, kitawasaidia kama laymen.
 
Tunadai katiba mpya wakati hata hii ya Sasa ikivunjwa hatuchukui hatua
 
kwa akili za hawa vijana wanaamini kila kinachotakiwa kufanywa na waziri aliyeteuliwa na Rais, Rais wa nchi hawezi kukifanya kabisa amefungwa mikono.
 
Umeamua kumvua nguo SSH. Wacha we, ndio afahamu madaraka bila kuwa nazo za kutosha kichwani ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…