Executive Agencies Act No 30 inaelekeza Mtendaji Mkuu wa Tanroads kuteuliwa na Waziri wa Ujenzi na sio Rais

Mambo madogo hayo mkuu sio ya kuumiza kichwa.
Waziri si ataagizwa tu kuwa mteue fulani.
Kwani waziri ana uhuru wowote wa kutofautiana na Rais?
 
Kwani akiteuliwa na Rais ukiacha kuvunjwa kwa hiyo katiba, kuna tatizo jingine?
 
Mambo madogo hayo mkuu sio ya kuumiza kichwa.
Waziri si ataagizwa tu kuwa mteue fulani.
Kwani waziri ana uhuru wowote wa kutofautiana na Rais?
Duh..!!! Unajuwa mkusanyiko wa system au mambo madogo madogo ndo huunda gari zima..!!?? Kwa komenti hii hatuna sababu ya kuwa na katiba, kila mtu ajiamulie lolote tu..!!
 
akiteuliwa n a Rais ni kosa kwasababu Waziri yupo juu ya Rais au vipi, mbona hamueleweki. hivi pamoja na yote, mnamjua boss wenu namba moja hapa nchini ni nani? ambaye hata ukiteuliwa na Rais akiamua kukufukuza anakufukuza dakika?
Haya akateuwe na wakuu wa shule sasa..!! Maana ya kuwa na katiba unaielewa?
 
Duh..!!! Unajuwa mkusanyiko wa system au mambo madogo madogo ndo huunda gari zima..!!?? Kwa komenti hii hatuna sababu ya kuwa na katiba, kila mtu ajiamulie lolote tu..!!
Pick your battles.

Hii tumia busara sio ya kuhangaika nayo.
 
Kwanini sasa uache huko kuvunja..!!?? Aiseee..!! Bro kwa hili na komenti yako, umechemka
Kuna jambo nataka kujua...ndio maana nimeiweka kama swali

Sababu nimekuwa nikiona teuzi nyingine za wakuu wa taasisi kubwa zinafanywa na Rais...

Hivyo najaribu kutafuta kuelewa iweje namna ya uteuzi wa mtendaji mkuu wa Tanroad iwe tofauti na mathalani uteuzi wa mkuu wa Tanesco, TPDC n.k
 
Kwangu mimi katiba ilivyo ifuatwe... !!! Kimsingi sijui kwanini wengine wateuliwe na Rais na wengine na mawaziri..!!!

Ila nimewahi shuhudia Rais akitoa maagizo kwa waziri au mtu fulani kumfukuza kazi au kumsimamisha mwingine.. Nikajua ni kwa sababu yeye siyo mteuzi wa mtu huyo
 
Yes bila shakha na sheria The Roads Act 2007 inasema Rais atamteua Mwenyekiti wa Bodi tu huko Tanroards.

Ibara ya 9.
 
Kwa hapa siyo ubovu wa katiba.. HAPA, KWA MAELEZO NA VIAMBATANISHO VYA MTOA MADA, NI KWAMBA RAIS WETU KAVUNJA KATIBA..!!! Full stop..!!
Ameivunja kwa sababu haiwezi kumuwajibisha.

Huo ndio ubovu wenyewe
 
Kwema ukoo kuna mwenzenu ana kalia debe lupango au msha msahau
 
Rais akisema Tanzana hakuna corona, yuko sahihi. Huyu rais akifa leo, kesho akaapishwa mwingine halafu akadema Tanzania kuna carona, yuko sahihi. Akili hizi ni kiwango cha ccm tu.
Taasisi tofauti tofauti zimeundwa kwa sheria tofauti. Utakuta taasisi hii mtendaji mkuu wake anateuliwa na waziri, nyingine anateuliwa na rais. Ktk jamii inayoheshimu utawala wa sheria lazima utaratibu huo ufuatwe. Vinginevyo ni UDIKTETA.
 
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…