Executive Agencies Act No 30 inaelekeza Mtendaji Mkuu wa Tanroads kuteuliwa na Waziri wa Ujenzi na sio Rais

Rais kachomekewa mtu walie kuwa wanamhitaji. Nae hana muda wa kuuliza kwa wasaidizi.
 
Rais ana power ya kuteua na kutengue yeyote na muda wowote!

Bavicha huwa hamsomi?
Na ikifikia ya alie juu kufanya kazi ambayo awali alimkasimisha wa chini, wa chini kadharaulika, akiwa na ujasiri anajiuzuru, la aendelee kuchutama.
 
Mtoa mada sio Bavicha na hakukuwa na ulazima wowote wa Rais kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads.
Na wachangiaji wanao unga mkono uteuzi wa rais hawajui hadhi ya mteule wa rais na mteule wa mamlaka zilizo chini yake.
 
Raia wanapigania katiba mpya itakayompunguzia mamlaka rais huku yeye akijiongezea mamlaka ambayo hana kwa hii hii ya katiba ya kifalme
 
Magufuli alimteua James Kilaba kuwa DG wa TCRA wakati sheria inasema ni waziri ndiye ana power ya kuteua.
Unahalalisha kosa kwa kunukuu makosa. Magufuli alikuwa msigina katiba mbovu.
 
"mimi na magufuli ni kitu kimoja"

Hapo unategemea aanze kufuata sheria? wakati alikuwa makamo wa mtu anayevunja sheria?
 
Muqe mna muhurumia huyu bibi.. hayo mambo ya sheria atayajulia wapi.. kila akiamka hajui anaanzia wapi ana malizia wapi.. Nchi hii itaishiwa mafuta muda wowote
 
Kauli ya rais ni kama sheria, lakini: 1) linadumu ndani ya siku 90 na muswada upelekwe bungeni kuitungia sheria. 2)itamkwe kwa jambo ambalo halina sheria inayolisimamia. Nje ya hapo ni kuvunja katiba.
 
Chain of command. Wa juu akishuka chini kuanza kutoa maagizo na uteuzi walioteuliwa hawatawaheshimu wakubwa wao wa karibu na matatizo ya utendaji huweza kutokea.
 
Samia urais hauwezi.
Urais ni kazi rahisi, ukifuata sheria. Ana wasaidizi kila idara, hata wa kujua leo avae barakoa rangi gani. Kifupi anatafuniwa kila kitu, inabaki kumeza. Shida ipo kama atashindwa kuhisi hata ongezeko la chumvi ili abadirishe mwonja chakula.
 
Hakuna kitu taratibu zimekiukwa.
 
Mkuu unazungumzia power to establish executive agencies? Au mamlaka ya uteuzi na kuunda ofisi kama ibara 36(1) ya katiba ya JMT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…