Executive Pay ya Top CEO Tanzania

Executive Pay ya Top CEO Tanzania

MalcolmX

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
158
Reaction score
100
Swali la kizushi. Miaka 5 iliyopita kulikuwa na leak kuwa Mwambita Makamba analipwa $20,000 kwa mwezi alipokuwa anafanya kazi Vodacom TZ

Sasa najiuliza hivi hawa ma top CEO wa mabenki kama Barclays, Stanchat, Vodacom etc wanalipwa kiasi gani kwa mwezi ontop of marupu rupu mengineyo?

Hapa nazungumia hasa hawa FOREIGNERS lakini sio mbaya tukajua hawa local CEO nao wanalipwa kiasi gani at minimum?
 
Steph tukijua itatusaidia kujua ni hela ngapi mwananchi wa kawaida alipwe
 
Kimei nadhani anavuta in excess of 40,000 USD per month
 
Back
Top Bottom