Habarini wananambia,
Kuna uhusiano wowote Kati ya exhaust system na utumiaji wa mafuta katika gari? Nikiimaanisha exhaust ikiziba na utumiaji mafuta WA gari unaongezeka? Asanteni
Habarini wananambia,
Kuna uhusiano wowote Kati ya exhaust system na utumiaji wa mafuta katika gari? Nikiimaanisha exhaust ikiziba na utumiaji mafuta WA gari unaongezeka? Asanteni
Sijui sanah ila ntakujibu kutokana na my general knowledge
Exhaust ikiziba gari itakuwa na na miss sanah maana hewa chafu ambayo ni mchanganyiko mafuta na oxygen ambayo tayari yashachomwa vitakuwa stuck inside kusa abisha virudi kwa engine na kusababisha kusiwe na new combustion so nadhan gari itasumbua sana kwa missna kishindwa kuwaka kbsah maana ni kama unavuta hewa huruhusu kuitoa nje..