Exhaust ya gari inapumua/inapuliza upepo kwa pressure kubwa, tatizo linaweza kuwa nini?

Exhaust ya gari inapumua/inapuliza upepo kwa pressure kubwa, tatizo linaweza kuwa nini?

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
261
Reaction score
93
Wakuu habari, exhaust ya gari yangu inapumua kwa pressure kubwa sana ya upepo, pia mafuta inatafuna sana kuliko kawaida, ranging 5km/litre na gari ni honda cr-v 1998, tatizo linaweza kuwa kwenye nini??
 
iko hivi wakuu
 
Kama silencer inakuwa juu basi itakuwa muffler imechoka pia angalia air filter..
Nakushauri nenda Kwa fundi nzuri arekebishe fasta
 
Back
Top Bottom