FUJISTU JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 261 Reaction score 93 Aug 1, 2019 #1 Wakuu habari, exhaust ya gari yangu inapumua kwa pressure kubwa sana ya upepo, pia mafuta inatafuna sana kuliko kawaida, ranging 5km/litre na gari ni honda cr-v 1998, tatizo linaweza kuwa kwenye nini??
Wakuu habari, exhaust ya gari yangu inapumua kwa pressure kubwa sana ya upepo, pia mafuta inatafuna sana kuliko kawaida, ranging 5km/litre na gari ni honda cr-v 1998, tatizo linaweza kuwa kwenye nini??
FUJISTU JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 261 Reaction score 93 Aug 1, 2019 Thread starter #2 iko hivi wakuu Your browser is not able to display this video.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Aug 2, 2019 #3 Kama silencer inakuwa juu basi itakuwa muffler imechoka pia angalia air filter.. Nakushauri nenda Kwa fundi nzuri arekebishe fasta
Kama silencer inakuwa juu basi itakuwa muffler imechoka pia angalia air filter.. Nakushauri nenda Kwa fundi nzuri arekebishe fasta