Exhaust ya Nissan Tiida

boy 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
414
Reaction score
395
Naomba ushauri nini nifanye gari yangu nissan tiida wametiunga ule unga unaokaa kwenye exhaust muungurumo umekuwa mkubwa je ninaweza kuipata ingine hata ya kuagiza au hazipatikani au nifanyeje ushauri wenu mafundi
View attachment 1762400
 
Ile catalytic converter kama wameitoa kupata nyingine wala si kazi..ni pesa yako tu...hiyo unaweza kuchukua hata ya IST mafundi wakachomelea kwa Gas welding...
 
Ile catalytic converter kama wameitoa kupata nyingine wala si kazi..ni pesa yako tu...hiyo unaweza kuchukua hata ya IST mafundi wakachomelea kwa Gas welding...
Nashukuru umenipa mwanga
 
Ile catalytic converter kama wameitoa kupata nyingine wala si kazi..ni pesa yako tu...hiyo unaweza kuchukua hata ya IST mafundi wakachomelea kwa Gas welding...
Ni wamefungua wakaichomoa
 
Chukua bati laini toboa tundu ndogo sana kisha weka kweny kibuyu wapipotoa unga
Shukrani nawala nimepeleka kwa fundi kaweka hivyo vibati gari kama nimenunua leo iko sawa sisikii muungurumo tena lkn najipanga sasa nitafute ingine nzima kabisa
 
Shukrani nawala nimepeleka kwa fundi kaweka hivyo vibati gari kama nimenunua leo iko sawa sisikii muungurumo tena lkn najipanga sasa nitafute ingine nzima kabisa
Amewwka kibati cha namna gani..
 
Hio gari unakata tu mwenyewe akiwa wapi?
Mbona concept yangu ni rahisi sana..
Mimi sijamaanisha aende kwenye parking za magari achukue cat converter ya IST ya mtu iliyopaki..

Magari yaliyopata ajali ni mengi na watu wanauza vifaa vyake..
Anaweza kuuziwa Catalytic converter ya gari lingine...wengine wanaita kibuyu chenye masega..
Hicho kibuyu chenye masega anampa fundi welding.
Fundi anachukua hicho kibuyu kilichonunuliwa, anakichomelwa kwenye gari lililoondolewa maswga.

Ni rahisi sana na watu wanafanya..
 
Ngozi nyeusi ni hatari sana,kuna siku nitampiga mtu risasi walahi!Mtu asije akagusa gari yangu pendwa ya Honda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…