Exhibition Fight Mwakinyo vs Twaha Kiduku

Exhibition Fight Mwakinyo vs Twaha Kiduku

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Ili kuondoa kisingizio kisichokuwa na sababu ya msingi ya kumkwepa Twaha Kiduku.

Ninashauri liandaliwe Exhibition Fight kati ya Hassan Mwakinyo vs Twaha Kiduku.

Exhibition fight hakuna bondia atakayepungukiwa chochote akipigwa na hakuna atakayetangazwa mshindi kama raundi za mchezo zote zitakwisha, mshindi atatangazwa kama tu atashinda kwa Knockout.

Sasa kisingizio cha Mwakinyo cha kuhofia kupoteza nafasi yake nadhani halitakuwa na mashiko kwa sababu hata akipigwa bado ataendelea kubakia kwenye nafasi yake.

Tunachotaka ni heshima na tuondoe ubishi uliopo.
 
Screenshot_20210904-172750.png
 
Makodinda Makostamina.

Bendera chuma ,mlingoti chuma

Hakuna kona kona.

Show show

Eaaaaaaaasy
 
Tunataka Exhibition fight.

Mwakinyo acha kukimbia ,sababu ya kuogopa kushuka rank haina mashiko tena.
 
Mkuu ule sio mdundiko kwamba unacheza unaburudika,ile ni vita ambayo wewe unalia mashabiki wako wanacheka.
 
Unamlazimisha mtu? tena mwanaume??

we katafute mboga ya nyumbani kwako.
 
Hiyo ni ndoto,sawa na kusema itokee siku kiba afanye ngoma na mond yaan ndoto ya mchana kabsa
 
yaani wapigane tuu kufurahisha umma hamna wanachoshindanieaaa woooiiiii

raha ya pambano lazima kuwe na zawadi ya ushindiii
 
Mwakinyo hana shida ya kufurahisha umma. Kama wanataka kufurahisha umma waandae pambano kati ya Kiduku na kingwendu. Dulla Mbabe na Joti nadhan umma utafurahi sana kwa kweli
 
Kwanini Twaha kiduku asipigane na nay wa mitego...??
 
Wakata vimeo mbona mnahangaika sana kutaka huyo bondia mavi wenu atembelee nyota ya Mwakinyo tu? Agangamale ajibebe mwenyewe. Hivi kweli Simba inaweza kushiriki kombe la mbuzi? Wacheni chuki za kichoko choko jamani.
 
Back
Top Bottom