Exile mavyuoni...!!

Exile mavyuoni...!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Back in days wakati naanza first year pale centre for excellency nilipangiwa room na ma blaza waliokua 2nd year. Kwa kweli hakuna tabu mwanzoni niliyopata kama kupigwa exile daily utafikiri mtu hauna haki katika chumba. Jamaa walikua wanabadilisha wanawake daily,na mtu akiingia ndani inabidi umpishe amalize haja zake. Ila baada kushindwa kutolerate niliwakoromea jamaa wakawa na respect, exile zikawa ni weekends ambapo mostly nilikua narudi home kwaio nakua sipo. So vijana mnaoanza first year, mambo kama ya exile yapo lakini usiruhusu mtu akutawale uwe hauna uhuru wala say katika room. Ila hua inapendeza sana mkikutana wote mwaka wa kwanza room moja then ideology zenu zinaendana inakua burudani sana, ndio maana semister II nilvyopata rum ambayo ni ya washkaj wote wa first year na tunaendana itikadi zetu nilifurahi sana na kwa ujumla maisha yakawa poa sana.
 
Koment za kishoga,watakuja subiri,loading,napita,ha hah hah vijana acheni mambo ya ajabu kama una jipya kaa pembeni,wenye uelewa na mada watoe ufafanuzi
 
hayo mambo vyuoni hayaepukiki,hata baba zetu walikua wanapigana exile,kuna mchizi wangu alipigwa exile la wiki nzima,alibebwa na mtu wa master pale uclas,jamaa alileta kimada wake kutoka mkoa,ilibizi mchizi atoke na nguo zake mpaka baada ya wiki ndio alikiona chumba.
 
We mtoto wa kiume vipi Bwana????!!!!!! Ukipigwa exile Nawe wapige unalalamika nini Bwana!!!!!!!!
 
Exile kitu cha muhimu sana mkuu, na hakikwepeki...

Enzi izo nakaa mabibo hostel nilikua nikipigwa exile naenda kukaa zangu block-G pale chini ya matenki yaani dah....
 
Exile haikwepeki mkuu...kiufupi first year yoyote ajiandae tu kwa hyo kitu...ukipigwa siku moja na.wew unatafuta demu unamleta room maisha yanaenda...
 
Yeah, ndomana nimejaribu kuwaambia waungwana wa first year kwamba kuna vitu kama hizo wasishangae, naona wengi wameshindwa kuelewa thread.
 
dah! tumewasoma sana mabro!
naomba kuuliza hakuna uwezekano mkachaguana first year peke yenu kisha mkapangiwa room moja na course tofauti....!!!?
 
dah! tumewasoma sana mabro!
naomba kuuliza hakuna uwezekano mkachaguana first year peke yenu kisha mkapangiwa room moja na course tofauti....!!!?

Kwani hapa duniani una uwezo wa kuchagua watu wa kufanya nao kazi?! au watu wa kuishi nao?! Mara zote huwezi!

Dunia haikupi option hiyo, Mungu hakupi hiyo option pia, na ndio maana shetani akaletwa duniani!

Ulishawahi kuwaza labda kwa nini shetani hakutupwa say,labda kwenye sayari nyingine (Mercury) lakin akaletwa duniani?! Kumbuka, aliyemtupa huku duniani alijua atakalokuja kufanya!!

Kaa, jifunze, na uchague maisha unayotaka kuishi kati ya yote unayoyaona!!

Hiyo ndio maana ya kuwa binadamu mdogo wangu. Kila la kheri!
 
umenena vyema!!!
 
Kupigwa Exile ni kitu cha kawaida sana. Nashukuru sikuwahi pigwa Exile kwa sababu nilipata bahati ya kukaa na watu wazima, wao walikuwa wanajiendea lodge kumaliza tamaa zao. Ila jirani zangu walikuwa wanashindana kupigana exile.....
 
Hapigwi m2 kudadesa... Ila vjtombeo vkja nami najumuika huko huko kunako.... Nimemaliza nini
 
mim nimekaa na washikj 5 mwaka mzma na cjawahi kupigwa exile hata cku moja tulikuwa tunaelewana na washikaj zang kama anakitu akapeleke hukooooooo co rum kwetu!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom