donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Back in days wakati naanza first year pale centre for excellency nilipangiwa room na ma blaza waliokua 2nd year. Kwa kweli hakuna tabu mwanzoni niliyopata kama kupigwa exile daily utafikiri mtu hauna haki katika chumba. Jamaa walikua wanabadilisha wanawake daily,na mtu akiingia ndani inabidi umpishe amalize haja zake. Ila baada kushindwa kutolerate niliwakoromea jamaa wakawa na respect, exile zikawa ni weekends ambapo mostly nilikua narudi home kwaio nakua sipo. So vijana mnaoanza first year, mambo kama ya exile yapo lakini usiruhusu mtu akutawale uwe hauna uhuru wala say katika room. Ila hua inapendeza sana mkikutana wote mwaka wa kwanza room moja then ideology zenu zinaendana inakua burudani sana, ndio maana semister II nilvyopata rum ambayo ni ya washkaj wote wa first year na tunaendana itikadi zetu nilifurahi sana na kwa ujumla maisha yakawa poa sana.