mwakalindile
Member
- Mar 12, 2017
- 16
- 13
Karibu sana
Nimeshaanza kuzoea bibie wacha tu nimkaribishe mgeni mwenzanguhahaaaaaaaa ray ushaanza kukaribisha watu wakati na wewe ni mgeni?
Mgeni akimkaribisha mwenyeji wake....Karibu sana
Nimeshaanza kuzoea bibie wacha tu nimkaribishe mgeni mwenzangu
Daaah nyie watu siwawez kwa umbeaMgeni akimkaribisha mwenyeji wake....
Sawa tunakucheki, Usije na habari za kutafuta wachumba humu au kukopi kopi tu hovyo hovyoHakuna kilichoniondoa jf, nilikuwepo ila siku jisajiri kama member wa hii familia zaidi ya kusoma comments mbali mbali za watu.
Swala la uwezo wangu wa kufikiri ni mkubwa tu ndo maana nipo jamii forum. Kati ya majukwaa ninayo appreciate, mojawapo ni jf. Ko ondoa shaka mkuu juu hilo, nitatumia uwezo wangu kuhoji, kutoa ushauri na kuomba msaada