Expensive minerals in the world.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496

1. Antimatter - $62.5 trillion/gram
2. Californium - 252 - $27 million/gram
3. Diamonds - $55,000/gram
4. Tritium - $30,000/gram
5. Taffeit - up to $20,000/gram or $4000/karat
6. Painite - $9000/gram or $1800/karat
7. Plutonium - $4000/gram
8. LSD - $3000/gram
9. Cocaine- $215/gram
10. Heroin - $130/gram
11. Rhino Horn - $110/gram
12. Methamphetamine - $100/gram
13. Platinum - $60/gram
14. Rhodium - $58/gram
15. Gold - $56/gram.

hilo dini la kwanza linapatikana wapi? au ni utopian?
 

Mbona karibu ya nusu ya uliyoandika siyo madini? .......... ni madawa ya kulevya!
 
mi sielewi hapo
 
Toka lini madawa ya kulevya yakawa madini? Powder SIO madini mkuu...
 
Tanzanite ipo wapi?Alafu hata htkajiuliza ... dhahabu imzidi Tanzanite??Go home@Bulldog , ur drunk ...
 
Kuna watu hawana kazi ya kufanya alafu ndiyo wa kwanza kulalamika hamna ajira na ccm mafisadi ndiyo maana hana pesa. Sijui hapa mleta mada anataka kusema nini?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
emerald ipo wap?,alaf madawa ya kulevya ni ya nn hapo,2nahitaj pure gemstones,naturally occured
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…